Tanzania yaingiza Hotel mbili ndani ya Top 10 ya 'The Most expensive Hotels in the World'

Tanzania yaingiza Hotel mbili ndani ya Top 10 ya 'The Most expensive Hotels in the World'

Hizi Hotel sijuwi ni Expensive kwa standards zipi, lakini obviously haziwezi Kuwa THE MOST EXPENSIVE HOTELS IN THE WORLD! Kuna Hoteli mpaka za milioni mia kwa usiku mmoja!

These are lodges not hotels
 
Tembea uone mkuu mimi nilitembea hotel zote serengeti zipo 2 tuu ambazo hazikujengwa nyerere mojawapo ni hiyo.Kupata kibali cha kujenga mbugani ni issue hizo 2 ndiyo hufikia matajiri na superstars wa dunia. Wanakuja kwa private jets.Kilichonishangaza zaidi vyumba vya usd 11200 kuna booking za mpaka mwaka 2016 watu wameshalipia.Pia hizi za kawaida muda wote zina wageni.Kenya wanawaibia watalii pesa wanaua swala kisha wanamtundika mtini chui aje kumla kisha wanamuonyesha mtalii,wakati serengeti hivyo ni vitendo live.Kwa utajiri wa serengeti hatupaswi kuwa masikini hivi

Hapo kwenye red mkuu, samahani lakini.. Ila nachelea kuamini mkuu, au unaaminisha labda bookings za wikends tu na sio siku zote 365kwa mwaka mmoja...
 
Four Season Hotel ziko 95 duniani kwenye nchi 40.
Hisa 47.5 zinamilikiwa na Billionaire wa Saudi na 47.5 zamilikiwa na Bill Gates hizo 10 nimesahau.
Just google kupata taarifa
 
Just checked few minutes ago. The following nearby Hotels/Camps are more expensive than 4 Seasons:

1. Camp Zebra
2. Serengeti Tanzania Bush Camp
 
Hiyo Singita ni 2.5M per night, ni lodge nzuri sana.. Nimetembelea nikiwa field. Kwa wake wa honeymoon ni 3M.
 
Update: Inawezekana kweli ni ya Baba Mwana, kwa sababu nimejaribu kufanya research naona hao Four Seasons wanai-manage tu lakini siyo yao, wanachukua asilimia tu.
 
Mmmmh! Wabongo kwa sound! Four Seasons ni chain ya Hotels ziko kibao paka NY huko, siyo ya mkuu wa kaya, ni ya Mkanada anaitwa Isadore.

View attachment 235549

Big Chains za hotel hazijengi majengo siku hizi...real estate haina thamani...Four Seasons na wengine wote wanamanage majengo an kuweka brand yao....mmiliki wa majengo anakua mwengine wew humjui...natuma nimekusaidia, haya kuanzia lea uache ushabiki maandazi
 
Huo ndiyo ushahidi wa Baba Mwana kumiliki hiyo Hotel? Haya lete ushahidi, siyo kuleta ushabiki wa maandazi tu!
 
Four Seasons wanafanya management pekee,lakini sio mali yao,kama unakumbuka lodge hiyo mwanzo ilikuwa inajulikana kama Bilila Lodge Kempinski, baada ya wao kushindwa management wakaondoka na kuacha lodge na hatimaye kuitwa Four Seasons Serengeti,mwenye hiyo lodge pamoja na nyingine kama Hyatt Kilimanjaro hotel na Hyatt Park(Zanzibar) na Melia Zanzibar.Kwa wale msio jua muache kupotosha na kusema mara Four Seasons ni mali ya mzee wa kaya mara ya mkanada hizo zote ni blaa blaa,angalia hapa Investment holding company UAE, Food Distribution & Logistics Services, Industrial, Engineering & Construction, Hospitality & Lifestyle Services Dubai

Update: Inawezekana kweli ni ya Baba Mwana, kwa sababu nimejaribu kufanya research naona hao Four Seasons wanai-manage tu lakini siyo yao, wanachukua asilimia tu.
 
Four Seasons wanafanya management pekee,lakini sio mali yao,kama unakumbuka lodge hiyo mwano ilikuwa inajulikana kama Bilila Lodge Kempinski, baada ya wao kushindwa management wakaondoka na kuacha lodge na hatimaye kuitwa Four Seasons Serengeti,mwenye hiyo lodge pamoja na nyingine kama Hyatt Kilimanjaro hotel na Hyatt Park(Zanzibar) na Melia Zanzibar.Kwa wale msio jua muache kupotosha na kusema mara Four Seasons ni mali ya mzee wa kaya mara ya mkanada hizo zote ni blaa blaa,angalia hapa Investment holding company UAE, Food Distribution & Logistics Services, Industrial, Engineering & Construction, Hospitality & Lifestyle Services Dubai

Mimi nimemsema huyo Mcanada kwa sababu ndiyo founder wa hiyo kampuni, baadaye akauza hisa nyingi kwa Gates na mwarabu lakini bado ana hisa hivyo ni mmiliki wa Four Seasons. Tunachojadiliana hapa ni mmiliki wa hiyo hotel, nimeshakubali kwamba si mali ya Four Seasons. Hapa tunajadiliana, nyie mnaojua tuambieni NI MALI YA NANI?
 
Four Seasons wanafanya management pekee,lakini sio mali yao,kama unakumbuka lodge hiyo mwano ilikuwa inajulikana kama Bilila Lodge Kempinski, baada ya wao kushindwa management wakaondoka na kuacha lodge na hatimaye kuitwa Four Seasons Serengeti,mwenye hiyo lodge pamoja na nyingine kama Hyatt Kilimanjaro hotel na Hyatt Park(Zanzibar) na Melia Zanzibar.Kwa wale msio jua muache kupotosha na kusema mara Four Seasons ni mali ya mzee wa kaya mara ya mkanada hizo zote ni blaa blaa,angalia hapa Investment holding company UAE, Food Distribution & Logistics Services, Industrial, Engineering & Construction, Hospitality & Lifestyle Services Dubai

Mkuu ukishaihUsisha mtu kutoka huko Asia ujue anahusika 100%
 
Back
Top Bottom