Tanzania yaiomba Marekani kuiondolea vikwazo vya Viza

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Serikali ya Tanzania imeiomba Marekani kuondoa vikwazo vya viza kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo, pamoja na vikwazo vingine vya kiuchumi na kiusafiri vilivyowekwa dhidi ya Tanzania, ili kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na wananchi wa nchi hizo mbili.

1785659970355.png
Ombi hilo limewasilishwa wakati wa mazungumzo baina ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, pamoja na ujumbe maalum wa wajumbe 11 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani (Congress) kutoka vyama vyote viwili vikuu nchini humo.

1785659982531.png
Kikao hicho cha ngazi ya juu kilichofanyika Julai 27, 2026, katika Ofisi za zamani za Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (Ngome), Upanga jijini Dar es Salaam, kiliongozwa na Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Huduma za Kijeshi, Ulinzi na Usalama ya Baraza la Wawakilishi la Marekani, Ronny Jackson.

Soma: Kuanzia Januari 01, 2026 Marekani imesitisha utoaji wa baadhi ya viza kwa raia wa Tanzania

Pamoja na kuwasilisha ombi hilo la kuondoa vikwazo, pande hizo mbili zilijadili maeneo ya kipaumbele ikiwemo fursa za biashara, uwekezaji, ulinzi na usalama, pamoja na amani katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Ujumbe wa Marekani uliipongeza sana Tanzania kwa mchango wake katika kudumisha amani na usalama wa kikanda, ikiwemo juhudi za kupambana na ugaidi na ushiriki katika operesheni za kulinda amani barani Afrika.

Aidha, pande hizo mbili zilikubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika maeneo yenye maslahi ya pamoja na pia kukubali kupitia tena maombi yote ya vikwazo yaliyowasilishwa rasmi na Tanzania na kukubaliana kukutana tena katika vikao vijavyo vitakavyofuata kwa lengo la ufuatiliaji kati ya nchi mbili.

Chanzo: Jambo TV
 
Tanzania haijawekewa vikwazo vya kiuchumi.

Mambo ya visa sio lazima na USA wasiondoe Kwa sababu hakuna huo ulazima na karibu nusu ya Nchi za Afrika zimewekewa visa restrictions.
 
Serikali ya Tanzania imeiomba Marekani kuondoa vikwazo vya viza kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo, pamoja na vikwazo vingine vya kiuchumi na kiusafiri vilivyowekwa dhidi ya Tanzania, ili kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na wananchi wa nchi hizo mbili.

Ombi hilo limewasilishwa wakati wa mazungumzo baina ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, pamoja na ujumbe maalum wa wajumbe 11 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani (Congress) kutoka vyama vyote viwili vikuu nchini humo.

Kikao hicho cha ngazi ya juu kilichofanyika Julai 27, 2026, katika Ofisi za zamani za Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (Ngome), Upanga jijini Dar es Salaam, kiliongozwa na Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Huduma za Kijeshi, Ulinzi na Usalama ya Baraza la Wawakilishi la Marekani, Ronny Jackson.

Soma: Kuanzia Januari 01, 2026 Marekani imesitisha utoaji wa baadhi ya viza kwa raia wa Tanzania

Pamoja na kuwasilisha ombi hilo la kuondoa vikwazo, pande hizo mbili zilijadili maeneo ya kipaumbele ikiwemo fursa za biashara, uwekezaji, ulinzi na usalama, pamoja na amani katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Ujumbe wa Marekani uliipongeza sana Tanzania kwa mchango wake katika kudumisha amani na usalama wa kikanda, ikiwemo juhudi za kupambana na ugaidi na ushiriki katika operesheni za kulinda amani barani Afrika.

Aidha, pande hizo mbili zilikubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika maeneo yenye maslahi ya pamoja na pia kukubali kupitia tena maombi yote ya vikwazo yaliyowasilishwa rasmi na Tanzania na kukubaliana kukutana tena katika vikao vijavyo vitakavyofuata kwa lengo la ufuatiliaji kati ya nchi mbili.
Common sense inasema Marekani wanatafuta mahali pa kuweka kambi zake nchini Tanzania.
Heri waweke huko Zanzibar ili IRAN ikipiga kieleweke.
 
Wanaomba kuondolewa vikwazo vya viza wakati jana wamehalalisha na kuongeza fedha za tahadhari wanazopaswa kulipa raia wa Tanzania wanaotaka kwenda USA, dola 20,000. Kenya haipo kwenye list
 
Serikali ya Tanzania imeiomba Marekani kuondoa vikwazo vya viza kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo, pamoja na vikwazo vingine vya kiuchumi na kiusafiri vilivyowekwa dhidi ya Tanzania, ili kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na wananchi wa nchi hizo mbili.

Ombi hilo limewasilishwa wakati wa mazungumzo baina ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho, pamoja na ujumbe maalum wa wajumbe 11 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani (Congress) kutoka vyama vyote viwili vikuu nchini humo.

Kikao hicho cha ngazi ya juu kilichofanyika Julai 27, 2026, katika Ofisi za zamani za Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (Ngome), Upanga jijini Dar es Salaam, kiliongozwa na Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Huduma za Kijeshi, Ulinzi na Usalama ya Baraza la Wawakilishi la Marekani, Ronny Jackson.

Pamoja na kuwasilisha ombi hilo la kuondoa vikwazo, pande hizo mbili zilijadili maeneo ya kipaumbele ikiwemo fursa za biashara, uwekezaji, ulinzi na usalama, pamoja na amani katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Ujumbe wa Marekani uliipongeza sana Tanzania kwa mchango wake katika kudumisha amani na usalama wa kikanda, ikiwemo juhudi za kupambana na ugaidi na ushiriki katika operesheni za kulinda amani barani Afrika.

Aidha, pande hizo mbili zilikubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika maeneo yenye maslahi ya pamoja na pia kukubali kupitia tena maombi yote ya vikwazo yaliyowasilishwa rasmi na Tanzania na kukubaliana kukutana tena katika vikao vijavyo vitakavyofuata kwa lengo la ufuatiliaji kati ya nchi mbili.
 
Attachments

  • 1785661644304.jpg
    1785661644304.jpg
    95.8 KB · Views: 17

Wanaosafiri ni mafisadi, Marekani endeleeni kutubana koo
 
Bado Maradhiano ya kweli hayajaonekana.
 
Kumbe kuna vikwazo, mbona serikali haijawahi tuambia
 
Back
Top Bottom