Tanzania yaiomba Marekani kuiondolea vikwazo vya Viza

Seriously? Serikali ya mazafakas inapenda kiki za kipumbavu sana!

Yaani Marekani iilegezee Tanzania ambayo Serikali yake inawawinda raia wake kama digidigi? Mtanzania anayewindwa kama digidigi akipata visa ya kuingia Marekani atakuwa na incentive gani ya kurudi nyumbani anakowindwa kama digidigi?
 
Wmabeberu tunawaomba tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…