Tanzania yaitaka Kenya kuwaachia raia wake haraka kabla ya hatua kali za kulipiza kisasi kuchukuliwa dhidi ya Kenya

Mkuu wa MKOA hongera sana kwa kulisema hilo Wazi kabisa, Wakenya wanaona wanajua sana na vitu vyao na watu wao ni bora kuli Watu wa Watanzania na vitu Vya Tanzania, dawa ya moto ni moto, ni kuwatafuta na kuwakamata wakenya wote ambao hawana vibali Vya kuingia na kukaa Tanzania, na kuwapeleka mahakamani haraka sana. na Tarifa kama hizi ziwe zinafika haraka kwa viongozi wa juu ili zifanyiwe kazi haraka.
Wakenya wenyewe wanatozwa faini kwa kutovaa barakoa, mbona Watanzania walioko Kenya wasitozwe? Nikija Tanzania lazima niheshimu sheria zenu vile vile ukija Kenya, heshimu sheria zetu. Acheni kulialia.
 
Mkuu boda boda za Tanzania na Kenya zinafanya Safari za kuvuka mpaka zaidi ya safari 500 kwa siku kusafirisha wananchi na bidhaa, kumbuka kwamba chini ya Km 20 wananchi wa mipakani wanaruhusiwa kuingia na kutoka bila vibali

Pale Namanga na Terakea, wakenya huvuka mpaka kila jioni kuja Tanzania kunywa bia, wakiwemo POLISI wa Kenya, je mnataka nao pia tuwazuie, wananchi wa Taveta huvuka kuja Tanzania kutafuta huduma za Afya bila vibali, je mnataka tuwazuie

Anachouliza mkuu wa mkoa ni kwamba hizi sheria mnataka na upande wa Pili pia tuwe "strict?". Kama kweli Kenya inafuata sheria, basi wasiwaachie, hiyo itatusaidia na sisi kuwa strict, tuone nani watakaolalamika.
Mkenya akiingia Tanzania bila kibali, mna haki ya kumfunga. Acheni kulialia na mfuate sheria za nchi mnazotembelea.
 
Wakenya wenyewe wanatozwa faini kwa kutovaa barakoa, mbona Watanzania walioko Kenya wasitozwe? Nikija Tanzania lazima niheshimu sheria zenu vile vile ukija Kenya, heshimu sheria zetu. Acheni kulialia.
hawa jamaa nashindwa kuwaelewa...yani wanapenda kulialia kweli.sijui ni sera za ujamaa ndio zimewafanya wawe soft hivi?wenyewe twatozwa kama hatuna barakoa alafu wamekuja bila barakoa wameshikwa wanasema ni makosa ya kimazoea..sielewi kosa la mazoea ni gani kabisa...watulie kwao huko na waache kulialia kama watoto wa kike
 
This is not how you talk about another nation

Wamewashika for what reason?

Kenya sio vichaa washike watu tu bila kuvunja sheria zao. You have to query kwa adabu uambiwe

Sio unaongea na nchi superpower kama unaongea na vitoto vyako huko sebuleni kwako

Endeleeni ku-normalize ugomvi ugomvi mkidhani you can handle ugomvi

Kila siku mnagombana na majirani zenu, hizi gomvi zimezidi
Hii mavi ya wapi? Super power!! Mnakunya nje unajiita superpower!! Ebu nenda kale mawe na mavi ya kibera huko..
 
Mkenya akiingia Tanzania bila kibali, mna haki ya kumfunga. Acheni kulialia na mfuate sheria za nchi mnazotembelea.
Mbona hadi leo mnalia kutokana na kuchomwa kwa vifaranga na kutaifishwa kwa Ng'ombe za wakenya?, wacheni ujinga wenu, ikitokea kwetu mnalalamika lakini ikitokea kwenu mnasema ni haki, msipowaachia by tomorrow tutawatia tena adabu kama kawaida yetu, au umasahau?
 
hawa jamaa nashindwa kuwaelewa...yani wanapenda kulialia kweli.sijui ni sera za ujamaa ndio zimewafanya wawe soft hivi?wenyewe twatozwa kama hatuna barakoa alafu wamekuja bila barakoa wameshikwa wanasema ni makosa ya kimazoea..sielewi kosa la mazoea ni gani kabisa...watulie kwao huko na waache kulialia kama watoto wa kike
Mumesahau hadi leo mnalilia kuchomwa vifaranga na kutaifishwa kwa Ng'ombe zenu?
 
According to Uhuru Kenyatta the answer is yes, otherwise Kenya wouldn't put Tanzania on the list of safe countries
epidemiologically that is IMPOSSIBLE! It started in Wuhan now it is all over the world!
 
Watu wako serious na kusimamia sheria zao nyie mnaleta upumbavu wa lege lege..

Linchi la hovyo and weak government ndio linashindwa kusimamia sheria

Kenya wapo serious, mnaanza kulia

Mkafie huko

Acha kujikomba we Mbutee.! Unahisi hayo maswali uliyoyauliza wao hawajafikiria au wewe akili yako inawqza zaidi ya wao !??? Who knows labda wewe ni Mkenya unajifanya Mtz.!
Acheni chokochoko za kingese, nyie mje kwetu kufanya biashara na hatuwazuii ila nyinyi tukiingiza unyayo tayari na tukutusweka ndanj.! Who do you think you are ?? Period
 
This is not how you talk about another nation

Wamewashika for what reason?

Kenya sio vichaa washike watu tu bila kuvunja sheria zao. You have to query kwa adabu uambiwe

Sio unaongea na nchi superpower kama unaongea na vitoto vyako huko sebuleni kwako

Endeleeni ku-normalize ugomvi ugomvi mkidhani you can handle ugomvi

Kila siku mnagombana na majirani zenu, hizi gomvi zimezidi
watawaachia ubaki njia panda hujui cha kushika.

hizi shobo zenu kwa wakenya baada ya kushindwa uchaguzi sisi tunazielewa,nikukumbushe tu,hiyo super power yako ya huko kwenye vikao vya ufipa imeshatikiswa mara kibao na inaufyata.

sijui huwa unasahau,au huwa hufatilii!!!
 
Mumesahau hadi leo mnalilia kuchomwa vifaranga na kutaifishwa kwa Ng'ombe zenu?
ndio nawaambia mwakurupuka...sheria zenu za nchi zasema mchome ng'ombe na kuku??kama zasema hivyo sawa ila sidhani...huku hatujakurupuka..tumefuata sheria ambazo hata sisi wakenya wenyewe lazima tuzifuate la sivyo tunaadhibiwa..
 
Mkuu wa MKOA hongera sana kwa kulisema hilo Wazi kabisa, Wakenya wanaona wanajua sana na vitu vyao na watu wao ni bora kuli Watu wa Watanzania na vitu Vya Tanzania, dawa ya moto ni moto, ni kuwatafuta na kuwakamata wakenya wote ambao hawana vibali Vya kuingia na kukaa Tanzania, na kuwapeleka mahakamani haraka sana. na Tarifa kama hizi ziwe zinafika haraka kwa viongozi wa juu ili zifanyiwe kazi haraka.
Mkuu kule Kenya huenda wapo watanzania kibao ambao huenda hawana vibali.
Ujirani mwema ni muhimu.
 
Mkuu

Naona unapata shida sana yaani

Mimi natoa hoja,wewe toa hoja pia..acha personal attacks za kipumbavu

Kenya hanilipi chochote,Tanzania hanilipi chochote,natoa hoja tu,sipati faida popote

Mkiambiwa ukweli mnaishia kutafuta sababu za kipumbavu

Mimi Mtanzania kwa kuzaliwa,ila sio Mtanzania kwa kusema uongo na kusifia upumbavu na mediocrity

Hamsimamii sheria zenu,wao wapo strict wanasimamia sheria zao na ukileta usenge wanakufunga bila huruma,unakuja hapa unaanza kulia eti nyie wakali sana bana,and blah blah za kipumbavu

Kafieni huko maiti nyie
wanevunja sheria gani mkuu?
 
Mbona hadi leo mnalia kutokana na kuchomwa kwa vifaranga na kutaifishwa kwa Ng'ombe za wakenya?, wacheni ujinga wenu, ikitokea kwetu mnalalamika lakini ikitokea kwenu mnasema ni haki, msipowaachia by tomorrow tutawatia tena adabu kama kawaida yetu, au umasahau?
1. Hakuna aliyelia juu ya vifaranga
2. Vifaranga kuchomwa siyo haki wala sheria. Ni kukosa utu tu. Hamna sheria Tanzania inayekubali kuchomwa kwa vifaranga vitokavyo nchi geni. Kama mngempiga mwenyewe faini tu ingemake sense.
 
Acha kujikomba we Mbutee.! Unahisi hayo maswali uliyoyauliza wao hawajafikiria au wewe akili yako inawqza zaidi ya wao !??? Who knows labda wewe ni Mkenya unajifanya Mtz.!
Acheni chokochoko za kingese, nyie mje kwetu kufanya biashara na hatuwazuii ila nyinyi tukiingiza unyayo tayari na tukutusweka ndanj.! Who do you think you are ?? Period
MFIPA uyo asikusumbue mkuu.
 
Dah ila unajikomba kwa hao manyangau mkuu

Sio kujikomba ni busara kidogo tu!! Ujinga huo huo wa kujimwambafy Kabudi atautumia kwa marekani na matokeo yake ni vikwazo vitakazowaumiza wananchi wakati nyie ukoo wa Jiwe mnaendelea kula BATA!!
 
Mkuu

Naona unapata shida sana yaani

Mimi natoa hoja,wewe toa hoja pia..acha personal attacks za kipumbavu

Kenya hanilipi chochote,Tanzania hanilipi chochote,natoa hoja tu,sipati faida popote

Mkiambiwa ukweli mnaishia kutafuta sababu za kipumbavu

Mimi Mtanzania kwa kuzaliwa,ila sio Mtanzania kwa kusema uongo na kusifia upumbavu na mediocrity

Hamsimamii sheria zenu,wao wapo strict wanasimamia sheria zao na ukileta usenge wanakufunga bila huruma,unakuja hapa unaanza kulia eti nyie wakali sana bana,and blah blah za kipumbavu

Kafieni huko maiti nyie

narudia tena huzijui hizi move wacha kujadili kwa hisia zako za machungu za kichadema,iwe unalipwa au umeamua kujikomba tu.

hatusimamii sheria gani!!eti kenya wako strict!!!!unaijua kenya wewe??

ni wewe kiazi mbatata kipindi cha corona ulileta kimbelembele cha kuisemea kenya hivi hivi,ulivyo huna kumbu kumbu leo tena umeamua kutibu stress zako.wewe ni ile sampuli ya akina mdude,wendawazimu ila mna watu wanawategemea.

maiti huwa inakufa tena!!!wacha bangi na mikate mikavu.jinga wewe.
 
Back
Top Bottom