Tanzania yaitaka Kenya kuwaachia raia wake haraka kabla ya hatua kali za kulipiza kisasi kuchukuliwa dhidi ya Kenya

Tanzania yaitaka Kenya kuwaachia raia wake haraka kabla ya hatua kali za kulipiza kisasi kuchukuliwa dhidi ya Kenya

"Zenu" nyie mliopo TZ,mimi sipo TZ kwa sasa,hivyo siwezi sema "zetu" maana sipo hapo na haziniathiri katika maisha yangu ya kila siku

Au unadhani hakuna Watanzania wanaoishi nje ya Tanzania?

A bunch of butter cups....

Mimi Mtanzania,na tamko lako wewe ni useless kwangu...Tamko lako la kunivua Utanzania ni useless maana huna mamlaka hayo

Unajipa vyeo visivyo vyako which makes you look like a clown....

Hiyo ni kazi ya Hakimu au Judge,wewe maiti wa JF eti upo hapa unagawa uraia kwa wanadamu usiowajua plus you dont have that mandate!
tenor.gif

Stop Wyatt! Stop! Can't you see he's already dead?
 
Back
Top Bottom