Si mlisema Magu ndio ananunua mandege?Kama nusu tu ya pesa hizo zingewekezwa kwenye kilimo cha mazao mkakati kama vile Alizeti, Ufuta na Michikichi katika baadhi ya wilaya hapa nchini tukishirikisha vijana kama wabia wakuu nafikiri leo tusingekuwa tunahaha kununua dumu la mafuta ya kupikia ya lita tano kwa Tshs. 40,000 na tungeweza ku- export mafuta hayo kwa majirani zetu kuingiza fedha za kigeni.
Serikali haishindwi na kituKiwanda cha ndege sio kama cha kubanjua korosho hooho
Kwani kuna mwananchi amezuiwa kulima? au kilimo unakifananisha uchimbaji wa mgodi mpaka serikali ilete vifaa.Kama nusu tu ya pesa hizo zingewekezwa kwenye kilimo cha mazao mkakati kama vile Alizeti, Ufuta na Michikichi katika baadhi ya wilaya hapa nchini tukishirikisha vijana kama wabia wakuu nafikiri leo tusingekuwa tunahaha kununua dumu la mafuta ya kupikia ya lita tano kwa Tshs. 40,000 na tungeweza ku- export mafuta hayo kwa majirani zetu kuingiza fedha za kigeni.
Sasa hivi hakuna bidhaa zinazoenda nje?Safii sana, hasara ndo mwalimu na tatajufunza kupitia changamoto. Cha ajabu sijasikia kama ndege ya mizigo (cargo plane) ni kati ya hizo ndege mpya maana njia pekee ya kupeleka bidha njee ni sisi kuwa na ndege yetu ya mizigo
Huyo mtu wenu alikuwa ameshatoa order ya hizo ndege. Usidhani ndege zinanunuliwa kama unavyoenda kununua nyanya sokoni unakuta meza kama 20 hivi zina nyanya kwa hiyo wewe unachagua tu.
Magu alinunua ndege 11 na zilishakuja, hizi hazimo hizi ni nyingineHuyo mtu wenu alikuwa ameshatoa order ya hizo ndege. Usidhani ndege zinanunuliwa kama unavyoenda kununua nyanya sokoni unakuta meza kama 20 hivi zina nyanya kwa hiyo wewe unachagua tu.