Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Si mlisema Magu ndio ananunua mandege?Kama nusu tu ya pesa hizo zingewekezwa kwenye kilimo cha mazao mkakati kama vile Alizeti, Ufuta na Michikichi katika baadhi ya wilaya hapa nchini tukishirikisha vijana kama wabia wakuu nafikiri leo tusingekuwa tunahaha kununua dumu la mafuta ya kupikia ya lita tano kwa Tshs. 40,000 na tungeweza ku- export mafuta hayo kwa majirani zetu kuingiza fedha za kigeni.
Vipi sasa?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app