Tanzania yajiondoa kwa ukosefu wa hela kwenye michuano iliyoandaliwa kwao Dar es Salaam

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809






Timu ya mchezo wa Kriketi upande wa akina dada nchini Tanzania yajiondoa katika mashindano hayo yanayoandaliwa mjini Dar-es-Salaam kwa sababu ya ukosefu wa kodi ya kushiriki na marupurupu

https://www.facebook.com/BBCSwahili/photos/pcb.1038049706213694/1038049369547061/?type=1


 
Yaani hata nauli wamekosa wanatembea kwa miguu.
 
Tunashukuru kwa taarifa.. Tutalifanyia kazi!! Endelea kuwa mbeya hivyo hivyo, umbea wako unaweza ukasaidia..
 
Kriketi bongo, iyo michezo mdebwedo hatutaki kodi zetu zitumike huko, shabaash!
 
Kriketi bongo, iyo michezo mdebwedo hatutaki kodi zetu zitumike huko, shabaash!

Hehehe!! haya mkazitumie kwa wale niliona mnawaita wazee wa Dar es Sa laam.
 
Hawa wamerudi nyumbani wamechoka, njaa na hawajalipwa........sijui kama watarushia CCM kura zao.
 
Demand and supply....
Nani asiyejua kuwa Tanzania ndiyo inayokeep soccer alive in East Africa? CECAFA inaitegemea Tanzania kuandaa Kagame xup, na timu za Tanzania zina uwezo wa kynunua mchezaji yeyote E. Africa.
You know why? Kwa sababu kuna demand kubwa Tanzania kwenye soccer.
Umewahi ku-bet kwenye cricket ya wanawake? Hata wahindi hawafanyi hivyo.
Get outta here with your cheap propaganda Nancy boy!
 
Wewe hii ni karne ya 21 hata wanawake wanaweza pata hela michezoni.........wewe ni mpumbavu sana uaelewa unachokisema ama ni data bundles umepata za bure?
 
Wewe hii ni karne ya 21 hata wanawake wanaweza pata hela michezoni.........wewe ni mpumbavu sana uaelewa unachokisema ama ni data bundles umepata za bure?

Data bundles? .... You funny fam!
We pay bills monthly over here and it's at&t.
Anywayz.... Kwanza isinielewe vibaya. Women cricket is not popular in Tanzania, not entirely because of gender, Ila tu ni kuwa cricket si mchezo popular na udhamini wake ni mgumu kulinganisha na soka.
Sasa wewe unanitukana kwa sababu gani?
Hakuna demand ya watu kuangalia cricket, especially ya wanawake and that's a fact, Hata TV stations haionyeshi cricket ya wanawake. Ningekuwa soka, Hata ya wanawake kusingetokea hayo. Issue siyo uanamke Bali ni mchezo wenyewe.
 
Duh, hii kali kweli! Sasa wageni watafunguliwa mlango na nani maana mwenyeji hayupo - Aibu ya zaidi ya nusu karne; zaidi ya miaka 50 ya uhuru bado tunasuasua
 

Yet the only east African in the English premier league is Kenyan
Wanyama Southampton
The only east African in the ligue 1 french is Kenyan
Dennis oliech
The only east African in the Italian liga is Kenyan inter Milan - Mcdonald mariga

The only country in the core 15 world rugby in africa is kenya and South Africa

The only country in the board of directors of world IAAF is kenya and Ethiopia

The only country in EAC with an ice rink is kenya and South Africa in the Greater africa
Pia skating, volleyball sisi wa kwanza Africa

Mkenya ndiye ameshinda tour De France huu mwaka

Hata CRICKET tulianza pamoja


 
It's not propaganda if we have picture of Tanzanian women cricket player carrying their bags walking out of their own turf before playing for lack of money boss Kobello u claim u use at&t so Uko USA - I doubt - get out uulize propaganda ni nn

N FYI jijulishe kuwa post paid na pre paid bills za simu ziko kila mahali its just market difference..
 
Last edited by a moderator:
It's not lack of money bruh! ... Kama kukiwa na tournament ya rugby, you will most likely see Kenyans and South Africans than Tanzanians.Same is in hockey etc.... But in soccer,basketball, netball, boxing or male cricket, you are more likely to get sponsors in Tanzania.
Sports in Tanzania is mostly privately sponsored or by public institutions like police, prisons, army etc...
Kuhusy pre paid phones ....lol those are for ppl with bad credit.
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha.........was soccer born in Tz?
 
This is very sad, embarrassing and will just demotivate the young girls;The government cannot chip in?...They do not have a ministry of sports and culture like in Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…