Tanzania yajitoa rasmi katika mpango wa uendeshaji Serikali kwa Uwazi (OGP)

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kiksnda, Dr.Aziz Mlima amesema “Ni kweli tumejiondoa. Lengo ni kuutathmini mpango huo kama unaendana na masilahi ya Taifa. Kama tutaona una maslahi kwa taifa tutajiunga tena”
Wenye uwelewa wameipata. Unafanya tathmini baada ya kujitoa na sio kabla ya kujitoa? Upupu mtupu. Yaani sasa tutaipata mbele kwa mbele. Tuzidi kuwaombea.
 
Tunafaidikaje kama nchi? Mikataba ya Ufaransa na makoloni yake ECOWAS tunaijua
 
Bwana yule ni lijizi lililoshindikana pia lina uroho wa madaraka.
 
Reactions: BAK
Nchi inaongozwa na ma-zombie tusitarajie habari njema kutoka kwao
Kama mungu mwenyewe amemkataa magu mimi nani nimkubali?
 
mkuu, hapa yanaandaliwa mazingira mujarabu kwa wateule wachache kupiga dili.
hili wala halihitaji hata digrii kuling'amua!
 
Hiki ndicho alichokiandika Heche
・・・
Sisi wengine tuliona mapema, wakati huo wengine walikua wamebebwa na makinikia sasa kila mtu anaona hatuko kwenye njia sahihi kama taifa.
Tupaze sauti kukataa udikteta.
 
Natamani hata watanzania wandamane 100 tu kila wilaya wakiwa na mabango kumwambia magufuli anakosea. Lakini wapiii twaishia Twitter
 
Natamani hata watanzania wandamane 100 tu kila wilaya wakiwa na mabango kumwambia magufuli anakosea. Lakini wapiii twaishia Twitter
Lakini katika uongozi hiyo ni mbaya zaidi maana unaona tu wanakuchekea siku wakigeuka ujue ni kimoja umepinduliwa hakuna mjadala bora uwe unawaona unawadhibiti.
 
Monday, November 13, 2017
Zitto wary of govt withdrawal from open government partnership




In Summary
  • “I was told that President John Magufuli has written a letter to the Prime Minister of Canada over the seizure of Tanzania’s aircraft. I am afraid the country’s decision to pull out of the OGP would dismay Canada, which is one of the member countries from fully cooperating with Tanzania,” he noted.

By John Namkwahe @johnteck3 jnamkwahe@tz.nationmedia.com

Dar es Salaam. ACT Wazalendo leader and Kigoma Urban MP Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) on Monday said he was worried about Tanzania’s decision to withdraw from the Open Government Partnership (OGP), saying it would frustrate Tanzania’s socio-economic relations with other OGP member countries.

“I was told that President John Magufuli has written a letter to the Prime Minister of Canada over the seizure of Tanzania’s aircraft. I am afraid the country’s decision to pull out of the OGP would dismay Canada, which is one of the member countries from fully cooperating with Tanzania,” he noted.

Read: Bombardier: JPM writes to Canada

Mr Kabwe also said most of the nations that withdrew from the OGP, including Tanzania, their administrations were accused of operating like a "tinpot dictatorship".

“It is a bad image for Tanzania to be associated with countries that embrace dictatorship,” he said.

However, the government assured that Tanzania’s decision to revoke its membership from the OGP won’t interfere Tanzania’s partnership with other OGP member countries.

This was said by minister of State in the President's Office (Public Service and Good Governance) George Mkuchika during a questions and answers session in Parliament on Monday, November 13, 2017.

With or without OGP, Tanzania will continue cooperating with other nations, including Canada,” he noted.

Commenting further on Tanzania’s decision to withdraw from OGP membership, Mr Mkuchika stated said: “Tanzania is a free country, its decision to pull out of the OGP was not as a result of other nations’ influence. Let it be understood that it was the country’s decision,” he said. (PURE LIES!! It was the decision made by dictactor uchwara)



0










advertisement
 
1. Arbitrariness
2. Ambiguousness
3. Capriciousness
4. Lack of transparency
These are now the 'FOUR HALLMARKS' of bad governance.
More to come soon!
 
Ikifia Uchumi Wa Kati
Na Ikiwa Nchi Ya Asali Na Maziwa
Kama Ile Waliahidiwa Wenzetu (Promised Land)
Hata Wakifanya Sirini Itakuwa Sawa
 
1. Arbitrariness
2. Ambiguousness
3. Capriciousness
4. Lack of transparency
These are now the 'FOUR HALLMARKS' of bad governance.
More to come soon!
Wazuie ndege zako Mara 3 wewe unaona sawa tu.
Kisa na mkasa , good governmence?
Wakuzungushe mahakamani kwa wizi wao na mikataba ya kinyonyaji kisa na mkasa good governmence?
Think again.
 
Makamba na washirika wake wanatembelea huu upepo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…