Tanzania yakanusha kuwakamata usalama wa taifa wa Kenya

Uko sahihi kuwa hakuna mwenye uhakika kuhusu uwepo au kukamatwa kwa hao majasusi kutoka Kenya. Tulichokisema ni kama kweli tukio limetokea, lazima polisi watakana kuwakamata na hata serikali yenu yaweza kukanusha kwenye media kuwa hawajakamatwa! Ila kama kuna masirahi binafsi, basi tz itatangaza kuwashikilia!

Kingine ni kuhusu Plausible deniability! Labda nikujulishe tu kuwa sio kila spy basi anafanya kazi ambayo akikamatwa atakanwa! Walio wengi hawafanyi kazi kwenye mazingira hayo! Mfano kwa CIA, kitengo pekee ambacho majasusi wake wana plausible deniability ni SAD (special activity division) na hawa ni wachache kweli kweli. Wengine wakikamatwa serikali zao huwa zinahaha kweli kweli.

By the way, suala la lagame kama nilivokwambia kuwa mimi na wewe tunaweza tusiwe na majibu maana lazima kuna makubaliano flani. Nimekupa mfano wa ushirikiano wa MOSSAD na CIA jinsi mossad walivyo wengi kule marekani na wanajulikana. Utaishia kusema tu kuwa wanasaidiana lakini kwa nyanja zipi huwezi kujua!

Ndo sawa na hili la kagame.

Ukisoma kwa makini ninachokiandika hutahangaika kueleza sana maana ni wazi hukukumbana na hii sentensi yangu "Japo kuna wale mambo hufanywa kimya kimya ya kubadilishana wafungwa."
Bila shaka sio wote hukanwa na serikali pande zote, hii michezo imekua ikichezwa tangu enzi zileee, hivyo hamna jipya.

Halafu umesababisha nicheke, sasa kipi hicho mnakifanya na mashushushu wa Kagame kiasi cha kulinganisha uhusiano wenu na ligi ya Mossad na CIA. Ukweli ni kwamba Kagame ametuhumiwa kuikojolea nchi yenu na uongozi wenu mara nyingi, mara eti ndiye alimumaliza Mtikila, mara amejaza machangudoa yakusanye taarifa kutoka kwa viongozi wenu wazinifu, mara amejaza watu wake kwenye JWTZ, mara katishia kumhit rais wenu...yaani tuhuma kibao halafu unajitetea kwa kusema mnashirikiana naye kama wafanyavyo CIA na Mossad...hehehehe
 
Nadhani hujanielewa vizuri namaanisha nini khs mfano wa mossad na CIA! Simaanishi kuwa tuko ligi moja, bali nakuonyesha kuwa mambo kama hayo yanawezekana!

Nadhani hata wewe ulipotoa mfano wa Russia na USA kukamatiana majasusi hukumaanisha kuwa Kenya iko ligi moja na nchi mojawapo kati ya hizo!

Kuhusu suala la kagame kutamba, Kwanza nikwambie huenda kagame anachokisema kikawa na ukweli au kisiwe na ukweli. Au ikawepo lakini sio kwa kiwango hichp anachokisema.

Kumbuka suala la kukusanya taarifa za siri kutoka nchi nyingine ni suala linaloghubikwa na usiri mkubwa sana, hivyo unapoona rais wa nchi moja anatamba mbele ya nchi nyingine kufikia kiwango cha kutaja maeneo aliyopandikiza hao watu wake, huku akijua kua kitendo hicho kinawaweka watu wake matatani zaidi, NI SUALA LA KUANGALIA KWA JICHO PEVU! Sio suala la kushabikia mara moja! Huenda akawa anasema ili kuleta hofu tz maana kwa hizo kauli zake tu, unaweza kudhani umeisha moja kwa moja, swali linabaki pale pale, kwa maslahi yapi afanye vile? Pengine tuseme hii michezo majibu sahihi wanayo wanaopanga mipango hiyo, maana masuala yenyewe ni siri na mbaya zaidi nchi zetu hizi hazina utaratibu wa kuweka wazi taarifa zake za kijasusi hata baada ya mda flani kama yalivyo mataifa yaliyoendelea.

Ukifuatilia nchi zinazodukua nyingine mara kwa mara utakuta kuna maslahi binafsi kati ya hizo nchi mbili! Kwa tz na Rwanda ni dhahili hayo maslahi sio makubwa kivile kuwa basi hizi nchi zidukuane kiivyo, maana ukiangalia si rwanda wala tz ambayo ina mgogoro na mwenzake kiusalama, kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni n.k. Japo hapo nyuma kulikuwa na shida kidogo lakini sio kwa kiwango cha namna hiyo.

Ni bora hata Kenya ndo tunaweza kusema hali ya kudukuana inaweza kuwa kubwa, maana kiuchumi hizi nchi mbili zina maslahi ambayo sa hizi yanaingiliana! Spies wa ke na tz ndo wanatakiwa wajae kila sehemu lakini sio huu mchezo wa Rwanda ambao impact yake ni ndogo.
 
Hayo yote uliyosema kwamba kuna shutuma nyingi za Kagame kuhusu Tanzania, hayo ni maneno yanayosemwa na watu wenye vichwa vibovu kama chako, kila nchi haikosi watu wenye vichwa vibovu kufikiria, japo huku tunao japo sio wengi kama huko kwenu, bado ninamtafuta mkenya humu JF angalau mwenye hafadhali kidogo ila sijampata, kama rais wa nchi ndiyo yuko hivyo, kila wakati bangi ipo kichwani, je raia wa kawaida itakuwaje?.. bangi..bangi kwasana tu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Nadhani hujanielewa vizuri namaanisha nini khs mfano wa mossad na CIA! Simaanishi kuwa tuko ligi moja, bali nakuonyesha kuwa mambo kama hayo yanawezekana!

Nadhani hata wewe ulipotoa mfano wa Russia na USA kukamatiana majasusi hukumaanisha kuwa Kenya iko ligi moja na nchi mojawapo kati ya hizo!

Kuhusu suala la kagame kutamba, Kwanza nikwambie huenda kagame anachokisema kikawa na ukweli au kisiwe na ukweli. Au ikawepo lakini sio kwa kiwango hichp anachokisema.

Kumbuka suala la kukusanya taarifa za siri kutoka nchi nyingine ni suala linaloghubikwa na usiri mkubwa sana, hivyo unapoona rais wa nchi moja anatamba mbele ya nchi nyingine kufikia kiwango cha kutaja maeneo aliyopandikiza hao watu wake, huku akijua kua kitendo hicho kinawaweka watu wake matatani zaidi, NI SUALA LA KUANGALIA KWA JICHO PEVU! Sio suala la kushabikia mara moja! Huenda akawa anasema ili kuleta hofu tz maana kwa hizo kauli zake tu, unaweza kudhani umeisha moja kwa moja, swali linabaki pale pale, kwa maslahi yapi afanye vile? Pengine tuseme hii michezo majibu sahihi wanayo wanaopanga mipango hiyo, maana masuala yenyewe ni siri na mbaya zaidi nchi zetu hizi hazina utaratibu wa kuweka wazi taarifa zake za kijasusi hata baada ya mda flani kama yalivyo mataifa yaliyoendelea.

Ukifuatilia nchi zinazodukua nyingine mara kwa mara utakuta kuna maslahi binafsi kati ya hizo nchi mbili! Kwa tz na Rwanda ni dhahili hayo maslahi sio makubwa kivile kuwa basi hizi nchi zidukuane kiivyo, maana ukiangalia si rwanda wala tz ambayo ina mgogoro na mwenzake kiusalama, kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni n.k. Japo hapo nyuma kulikuwa na shida kidogo lakini sio kwa kiwango cha namna hiyo.

Ni bora hata Kenya ndo tunaweza kusema hali ya kudukuana inaweza kuwa kubwa, maana kiuchumi hizi nchi mbili zina maslahi ambayo sa hizi yanaingiliana! Spies wa ke na tz ndo wanatakiwa wajae kila sehemu lakini sio huu mchezo wa Rwanda ambao impact yake ni ndogo.

Sikua namaanisha kwamba mumefikia ligi ya MOSSAD na CIA, nilichokua nachekea ni pale ulisema kwamba inawezekana majasusi wa kwenu wanashirikiana na wale wa Kagame kama wafanyavyo hao wababe, nikakosa mantiki maana tuhuma za kijasusi za Kagame dhidi yenu ni too much kiasi cha kutodhihirisha ushirikiano wowote.

Halafu Kenya sitegemei tuwe na sababu zozote za kuwaleta majasusi Tanzania maana hamjafikia kwenye ushindani wa kusababisha tuwaze kitu kama hicho, itakua uharibifu wa raslimali za kitaifa. Sijaona ugomvi wowote zaidi ya nyie kujifanya vichaa mara kwa mara na kutia kuku viberiti na kunadi ng'ombe wetu.
 
Sasa hapo ndo umekuja nilipokuwa napamaanisha kuhusu hao wanaonadiwa kila siku eti majasusi wa Rwanda wamejaa tz! Wanadukua kipi wote hao kama sio propaganda? Ndo maana nkwakwambia Rwanda sio nchi tajiri kiasi hicho hadi wapoteze fedha zao kuwalipa watu wengi kiasi hicho kuja kukaa tz wakati hakuna cha maana wanachokifanya. Ndo maana nkwakwambia inabidi ifikirie mara mbili badala ya kusikia tu kwenye media ukafanyia kazi!

Kuhusu kenya na tz, tutarudi kule kule kwenye ubishani, wenye majukumu ya kudukua wakiona kuna umuhimu watafanya hivyo!

BTW, hivi unamfaham mkenya mwenzio anaitwa Julius Mwonga Matei, ni NIS wenu tulimkamata 2015 hapa akifanya udukuzi. kaeni chonjo nyie watu!
 
So tatizo lako nini maana hamna sehemu nimelalamika, kama mliwakamata na kuwanyonga kosa litakua lao kwa kujianika kizembe.
Espionage huwa inafanywa kwa ujuzi wa hali juu, na hufanywa na watu waliojitoa mhanga kwamba wakikamatwa, yao inaisha.
Labda itokee kwa mlivyo wazembe muwe mlikamata Wakenya kiholela na kuwambabikia bila kuchunguza kwa makini. Lakini kama in kweli walikua majasusi, basi muwafanye mtakavyo maana ndio kawaida ya hii michezo, hata Marekani na Urusi huchezeana hivi sana na akikamatwa yeyote, basi inabidi nchi take iingie gharama aidha ya prisoners exchange au mengine.

Huwa tunaskia Tanzania ni shamba la majasusi wa kutokea Rwanda, kwa miaka mingi wamejaa kwenu wengine wana vyeo hadi jeshini, tatizo mna liinchi likubwa na umaskini mwingi hivyo hata kuchezewa na watu kama Kagame haihitaji nguvu nyingi.
Hakuna Wana Usalama wa Rwanda wanaotuchunguza kwa kiwango mpaka kufikia wewe kujua je unahsi tu hawajakamatwa? Kuna wakimbizi wengi waliingia Kutokea majirani na kuomba Uraia hao tuko Aware nao na kwa taarifa yako hawawezi kufikia Vyeo vya juu.
 
Sasa hapo ndo umekuja nilipokuwa napamaanisha kuhusu hao wanaonadiwa kila siku eti majasusi wa Rwanda wamejaa tz! Wanadukua kipi wote hao kama sio propaganda? Ndo maana nkwakwambia Rwanda sio nchi tajiri kiasi hicho hadi wapoteze fedha zao kuwalipa watu wengi kiasi hicho kuja kukaa tz wakati hakuna cha maana wanachokifanya. Ndo maana nkwakwambia inabidi ifikirie mara mbili badala ya kusikia tu kwenye media ukafanyia kazi!

Kuhusu kenya na tz, tutarudi kule kule kwenye ubishani, wenye majukumu ya kudukua wakiona kuna umuhimu watafanya hivyo!

BTW, hivi unamfaham mkenya mwenzio anaitwa Julius Mwonga Matei, ni NIS wenu tulimkamata 2015 hapa akifanya udukuzi. kaeni chonjo nyie watu!

Kagame mwenyewe ndiye anajua sababu za kuingia gharama za kuwafayia hayo yote, kumbuka sio nyie tu mnaolialia kumhusu, amekalia vichwa vya majirani zake wote wakiwemo Wakongoman, Burundi na Uganda. Nakumbuka video za Mtikila akieleza jinsi Kagame anaandaa himaya fulani na ndio maana amechomekea nchi zote hizo watu wake kwenye kila sekta na nyanja.

Huyo Julius Mwonga Matei sikua namjua ndio nimemtafuta kwenye Google na kuona alikua muhangaikaji/hustler tu aliyekodiwa na Chadema kusaidia katika kutengeneza tallying centre. Huo sio udukuzi, walivurugwa tu kama serikali ya Kenya ilivyovuruga tallying centre ya NASA hapa Kenya na kuwafukuza wageni waliohusika.
Hakuna mdukuzi anayeweza kujianika kwenye ofisi za Chadema kihivyo, hizi systems unazipiga tu hata ukiwa Uchina au Vietnam.

Narudia tena, Kenya haina sababu zozote za kupoteza raslimali kufanya ujasusi huko kwenu, nchi yenu ni maskini na haina chochote cha maana kutufanya tuhangaike kuwawaza. Matukio yenu ya kuchoma kuku na kunadi ng'ombe hizo ni issue ambazo haziwezi kutuumiza akili sana, tunawaachia waziri wetu wa mambo ya nje na kimataifa.

Miaka ambayo tungehangaika na nyie ni kipindi cha Nyerere ambapo mlikua na kiherehere cha kuingilia ugomvi wa kila nchi na kulea waasi kwenye nchi yenu kama akina Museveni. Hicho kiherehere kilisababisha mkaishia kuwa maskini na kurudi nyuma kiuchumi ambapo hamjawa sawa tangu enzi hizo. Pia kuna wakati mlitubeep ambapo Raila alijaribu mapinduzi ya kijeshi Kenya haalfu washirika wake wakakimbilia Tanzania, ila mliwarejesha kwa kasi maana kingelipuka.

Zaidi ya hayo hatuna ugomvi wowote na nyie na sikumbuki issue yoyote, mpaka wetu na nyie ndio the most peaceful ukanda wote huu, tofauti na ilivyo kwenye mipaka yenu na Wakongo, Burundi na wengineo.
 
We jamaa umejaa tambo tu huna lolote kwa Taarifa tu Intelligence imara ni kuanza kujua kila anachofanyq jirani yako hata kama hana impact kwako, Adui namba moja ni mtu wako wa Karibu
 
Hiyo kweli lakini pia kuna level ya investment kwenye ujasusi ambayo inatokana na kutathmini umuhimu wake.
Kwa mfano Nina uhakika Marekani amewekeza sana kwenye ujasusi dhidi ya mataifa ya mbali kama Urusi, Iran n.k. zaidi ya alivyowekeza dhidi ya jirani wake Canada.
 
Je ni wapi mmewekeza sasa zaidi nyie wakenya? Marekani anamchunguza pia canada sana umewaza mfano Putin akapandikiza Watu wabaya canada Je huoni watu hao state akidharua haita mpa shida mbeleni?
 
Masuala ya ujasusi ni siri kubwa sana na binafsi sina taarifa za wapi tumewekeza sana, lakini pia najaribu kutumia common sense.
Uwekezaji wa Marekani kule Canada labda tu kwenye kuhakikisha hao Canada wamejilinda ipasavyo, lakini sio kupachika majasusi wa kuihujumu Canada. Lakini huyo Marekani akipata fursa ya kuwekeza kwenye kuihujumu Urusi, hawezi kusitasita. Haya mambo yanafahamika kote kote.
 
Jamaniii eee tuache utani Kenya na majasusi wapi na wapi !!!! Ninge sikia tumekanata WAKOLA na wala RUSHWA KUTOKA KENYA NINGEKUBALI

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom