Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Tanzania inalenga kuongeza usafirishaji wa mizigo kwa reli hadi kufikia kontena 1,500 kwa siku, hatua inayolenga kupunguza msongamano katika Bandari ya Dar es Salaam, kuharakisha usafirishaji wa mizigo na kupunguza gharama za usafirishaji kwa wafanyabiashara.
Mpango huo pia utaimarisha matumizi ya reli katika kusafirisha mizigo kutoka bandarini kwenda maeneo mbalimbali ya ndani na nchi jirani.
Mpango huo pia utaimarisha matumizi ya reli katika kusafirisha mizigo kutoka bandarini kwenda maeneo mbalimbali ya ndani na nchi jirani.