Wachina wamepiga chini usafirishaji wa nyara. Wakikudaka ni shidaTukianza safari za ndege za moja kwa moja italeta mageuzi makubwa ya kitalii, ila tuwe makini na nyara za nchi.
True, wameweka ban na ni watu wachache wanaojihusisha na hiyo biashara haramu, ila tusibweteke tukajiachia wakatujaribu. Kwa upande mwingine Wachina wanatajirika siku hadi siku, na ni soko zuri la utalii na pamoja na mambo mengine ya kilimo. Hawa jamaa wanashida sana ya vyakula.Wachina wamepiga chini usafirishaji wa nyara. Wakikudaka ni shida
Kiukweli WIZARA YA UTALII inapokuja kwenye swala la trade show banda la maonyesho huwa wanalitendea haki. Nawapa pongezi sana.Bravo my beloved country TANZANIA
Kweli kwenye swala lipi ??Kama ni kweli basi hongera
Rejea kichwa cha habari hapo juuKweli kwenye swala lipi ??
NimekupataRejea kichwa cha habari hapo juu