Tanzania yalipiza kisasi tena, yafunga mpaka wake wa Holili baada ya Kenya kuzuia madereva wa Tanzania kuingia Kenya

Kenya cannot be shaken by LDC nations, you may threaten and blackmail but it never goes anywhere...

you can shake a fig tree, and then think its shaking but only your buttocks are shaking...
unaandika kishujaa kweli kweli,il muda wa kukushika mattako ukifika utakuwa unalia peke yako chumbani.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Tuangazie na athari za kiuchumi especially a
kwa mfanya biashara mmoja mmoja.
 
nyooo hayo mavi mnayo[emoji16][emoji16][emoji16]

tungekuwa tunawasumbua hapa kama tunvyotaka!!!na hizi jeuri zenu mtanunua mahindi tokea us,yabebwe na ndege.

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
yanabebwa kwa meli... from Mexico , its cheaper than buying from TZ
 
Mimi niko pamoja na maamuzi sahihi ya serikali kuhusu kufunga mpaka na kenya. Yani Kenya wanajionaga Europe hawa.
Ila mmefikiria kadhia wanayopata waTanzania wanaotegemea Hiyo mipaka?
 
Marekani haina njaa wala haitegemei chakula cha msaada, usilinganishe Marekani na takataka
Mkuu unapoita wengine takataka hivi unajua Majaji wenu wa Mahakama hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili? April and May na bado hamna mtu anayehoji?
Polisi na wanajeshi hawajalipwa posho za mwezi May?
 
Tupe % ya hvyo vitu
 
Na hakuna siku
 
What matters is to meet your demand, if you eat more than what you produce you end up starving, that's why you become a shame of East Africa for depending on food donations, shame on you Kenyans.
Hahahahaa!!jamaa kakupiga vibaya sana, east africa kenya demand ipo juu sana..naona hapo ulipakwepa[emoji1787][emoji1787]
 
Kwenye episode 1,tuliwapiga pini,mkatii,hamkuendelea kupima madereva wetu,hamkuwatangaza,mlituogopa,hahaha,tena nawahakikishia,hamwezi ktupima inawaumaaa.na goti mtapiga tens as usual.
Lini au wapi mliona madereva wenu hawakupimwa border..
Mwendo ni uleule[emoji1787][emoji1787]
 
Mtaangaika sana. Kenya haitalegeza masharti zake kwa Tanzania. So is either you shape in or you ship out. I give that border three days to be reopened and then we continue with our business of testing Tanzanian drivers in every trip they make.
Kawaida ya wanafiki unapo wekeana nae tu ahadi lazima ageuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…