Ni UJINGA KULIPA KISASI KWA KISASI....Akili za watu humu ni kushangiliana kwa kukomoana hawajui familia ngapi za kitanzania zinaumia na hii hali.... Hili suala lilifaa Viongozi husika kuwapigia wenzao simu Au kuonana nao na kujua nini Tatizo na kuyamaliza.hili suala ni jepesi Kumaliza... Sijaona sababu ya Viongozi wa Mikoa kuonyeshana ubabe WA kijinga ambao hausaidii Tatizo. ......hizi nchi zinategemeana.. Huyu unampa bidhaa Huyu anakupa pesa.. Wakulima wengi wa Tanzania kimbilio ni Kenya wanauza kwa bei nzuri na kubwa.... Wanaoshabikia Badala ya kutoa solutions ni WAJINGA.