Tanzania yalipiza kisasi tena, yafunga mpaka wake wa Holili baada ya Kenya kuzuia madereva wa Tanzania kuingia Kenya

Tanzania yalipiza kisasi tena, yafunga mpaka wake wa Holili baada ya Kenya kuzuia madereva wa Tanzania kuingia Kenya

Mkuu unapoita wengine takataka hivi unajua Majaji wenu wa Mahakama hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili? April and May na bado hamna mtu anayehoji?
Polisi na wanajeshi hawajalipwa posho za mwezi May?
Hahahaha, hakuna mtumishi hata mmoja ambaye hajalipwa mshahara wake, uliza waalimu ambao hawafanyi kazi miezi mitatu sasa kutokana na Corona, wote wanalipwa na ndio kundi kubwa zaidi la watumishi wa umma, ni zaidi ya 52% ya wafanyakazi wote Serikali, iweje majaji ambao hawafiki hata 200 na wapo kazini kila siku wasilipwe, wacha kusikiliza maneno ya Mange Kimambi na Kigogo. Samahani kwa kutumia neno takataka.
 
Hahahahaa!!jamaa kakupiga vibaya sana, east africa kenya demand ipo juu sana..naona hapo ulipakwepa[emoji1787][emoji1787]
Alete data kuonyesha mahitaji ya mahindi kwa mwaka Kenya vs Tanzania
 
Ndio kila mtu abaki kwake
mawazo ya kimasikini haya...haujui kuna watz kibao biashara zao zinategemeana na Kenya and vice vesa.
wananchi ndio watakaoumia, viongozi wenyewe hawana shida...mishahara na posho zao zipo pale pale mpaka ufungwe/usifungwe!.
 
Ni UJINGA KULIPA KISASI KWA KISASI....Akili za watu humu ni kushangiliana kwa kukomoana hawajui familia ngapi za kitanzania zinaumia na hii hali.... Hili suala lilifaa Viongozi husika kuwapigia wenzao simu Au kuonana nao na kujua nini Tatizo na kuyamaliza.hili suala ni jepesi Kumaliza... Sijaona sababu ya Viongozi wa Mikoa kuonyeshana ubabe WA kijinga ambao hausaidii Tatizo. ......hizi nchi zinategemeana.. Huyu unampa bidhaa Huyu anakupa pesa.. Wakulima wengi wa Tanzania kimbilio ni Kenya wanauza kwa bei nzuri na kubwa.... Wanaoshabikia Badala ya kutoa solutions ni WAJINGA.
na hapo ukumbuke viongozi wenyewe hawaathiriki kbs kwa namna yoyote mpaka ufungwe au usingwe...maisha yao yanaendelea kama kawaida kwa kulamba mishahara na posho wakati mkulima wa viazi vya njombe mali yake inaharibikia hapo namanga!.
 
Mkuu unapoita wengine takataka hivi unajua Majaji wenu wa Mahakama hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili? April and May na bado hamna mtu anayehoji?
Polisi na wanajeshi hawajalipwa posho za mwezi May?
hii chai yenye mafuta umeitoa jiko gani???

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unapoita wengine takataka hivi unajua Majaji wenu wa Mahakama hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili? April and May na bado hamna mtu anayehoji?
Polisi na wanajeshi hawajalipwa posho za mwezi May?
Kigogo atakuja waoa watoto wa kiume.
 
mawazo ya kimasikini haya...haujui kuna watz kibao biashara zao zinategemeana na Kenya and vice vesa.
wananchi ndio watakaoumia, viongozi wenyewe hawana shida...mishahara na posho zao zipo pale pale mpaka ufungwe/usifungwe!.
Wewe upo tayari kuwasujudia wakenya? Tatizo la Kenya rushwa imetawala ndio maana wanalazimisha vipimo vifanyike mpakan ili wapate rushwa na wala lengo si kupima korona hata ukikutwa na korona ukitoa pesa unapita Sasa Kuna haja gani ya kumbembeleza mtu Kwan TZ pekee ndio itakayopata hasara? Najua kama hasara ipo Ila kwa TZ ni itakua ya watu Wachache Ila kwa Kenya litakua janga la taifa
 
Back
Top Bottom