Tulimkataa, sasa anakula bata huko Brussels.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulimkataa, sasa anakula bata huko Brussels.
Hii ndio raha ya kusema kila kitu kianze kuongelewa kwa lugha ya kiswahili. Bado tusubiri hukumu za mahakama zianze kuandikwa kwa kiswahili. PO zitakuwa million ,jedi hazitaisha mahakamani kwa sababu ya PO.Tanzania imeitaarifu Zambia kwamba hawako tayari kumpokea balozi wao mpya kutokana na majina yake kubeba tafsiri isiyokubalika katika jamii ya Watanzania.Balozi huyo mpya anaitwa Mr Musenge Mukuma.
Hiv hii issue ni ya kweli au vichekesho tuTulimkataa, sasa anakula bata huko Brussels.
Hiv hii issue ni ya kweli au vichekesho tu
Wamuache tu mbona wasukuma tumewazoea😆😆Tanzania imeitaarifu Zambia kwamba hawako tayari kumpokea balozi wao mpya kutokana na majina yake kubeba tafsiri isiyokubalika katika jamii ya Watanzania.Balozi huyo mpya anaitwa Mr Musenge Mukuma.