Maajabu ya Mwaka Jana 2015.
Kwa Msanii Diamond plaalmasi.
1.Alishabikia CCM watu wengi walimtusi na kusema hawatompigia kura kwenye kipengele cha @BestAfricanAct.
2.TeamKiba kumsapoti mnaijeria Davido kumuacha Mtanzania mwenzake Baba tifa.
3.Hakupewa UZALENDO.Leo kachaguliwa Kiba mnasema Utanzania kwanza,UZALENDO kwanza kwa Dai haikuwa UZALENDO kwanza,UTANZANIA KWANZA.
nb:ukisikia maajabu 7 ya dunia ya mwaka huu ni ya 8.Vya kusema UZALENDO kwanza kwa Kiba ila sijui.Days are coming 28 October 2016.MTVMAMA2016.