Elieza Kalaita New Member Joined May 18, 2016 Posts 2 Reaction score 1 Jun 7, 2016 #1 Hii Tanzania ni nchi nzuri sana aisee, kigezo cha kuwa dereva wa mbunge au waziri ni uwe na cheti cha form 4 haijalishi wewe ni kilaza au lah! lakini kigezo cha kuwa mbunge ni uwe na umri kuanzia 18+. Tutafika tu bila shaka.
Hii Tanzania ni nchi nzuri sana aisee, kigezo cha kuwa dereva wa mbunge au waziri ni uwe na cheti cha form 4 haijalishi wewe ni kilaza au lah! lakini kigezo cha kuwa mbunge ni uwe na umri kuanzia 18+. Tutafika tu bila shaka.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jun 7, 2016 #2 karibu sana JF.................
Elieza Kalaita New Member Joined May 18, 2016 Posts 2 Reaction score 1 Jun 7, 2016 Thread starter #3 Ulimakafu said: karibu sana JF................. Click to expand... Thanks!