Elieza Kalaita
New Member
- May 18, 2016
- 2
- 1
Hii Tanzania ni nchi nzuri sana aisee, kigezo cha kuwa dereva wa mbunge au waziri ni uwe na cheti cha form 4 haijalishi wewe ni kilaza au lah! lakini kigezo cha kuwa mbunge ni uwe na umri kuanzia 18+. Tutafika tu bila shaka.