Tetesi: Tanzania yaondolewa kwenye mradi wa kimataifa kuhusu nishati endelevu kikwazo kikiwa ni sheria ya takwimu

Tetesi: Tanzania yaondolewa kwenye mradi wa kimataifa kuhusu nishati endelevu kikwazo kikiwa ni sheria ya takwimu

Sasa huo mradi unahusu nishati katika muktadha upi? 1.) Wanafadhili miundombinu za nishati, 2.) Wanafanya semina juu ya nishati endelevu? Au wanfanya nini?
 
Tanzania ya Viwanda inashindwa hata kupeleka watu nje ya nchi kujifunza.

Ujunzi wetu ni kutengeneza pombe za kienyeji
 
Back
Top Bottom