FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Dec 10, 2018 #61 Sasa huo mradi unahusu nishati katika muktadha upi? 1.) Wanafadhili miundombinu za nishati, 2.) Wanafanya semina juu ya nishati endelevu? Au wanfanya nini?
Sasa huo mradi unahusu nishati katika muktadha upi? 1.) Wanafadhili miundombinu za nishati, 2.) Wanafanya semina juu ya nishati endelevu? Au wanfanya nini?
Bramo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 13,176 Reaction score 10,068 Dec 10, 2018 #62 Mudawote said: Lijing kabisa. Kwani hizo sheria hazipo? Sema kuna namna zilivyokaa Click to expand... Hahahaha We Mdada una matatizo sana. Njoo inbox
Mudawote said: Lijing kabisa. Kwani hizo sheria hazipo? Sema kuna namna zilivyokaa Click to expand... Hahahaha We Mdada una matatizo sana. Njoo inbox
ivunya JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 2,290 Reaction score 2,220 Dec 10, 2018 #63 Tanzania ya Viwanda inashindwa hata kupeleka watu nje ya nchi kujifunza. Ujunzi wetu ni kutengeneza pombe za kienyeji
Tanzania ya Viwanda inashindwa hata kupeleka watu nje ya nchi kujifunza. Ujunzi wetu ni kutengeneza pombe za kienyeji
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,141 Reaction score 3,838 Dec 10, 2018 #64 Daudi Mchambuzi said: Sera mbovu za nchi zinazidi kuua uchumi wa taifa, mbweha bado wanashangilia. Click to expand... Halafu utasikia tupo vizuri tutembee vifua mbele! LMAO 😂😂🤣🤣
Daudi Mchambuzi said: Sera mbovu za nchi zinazidi kuua uchumi wa taifa, mbweha bado wanashangilia. Click to expand... Halafu utasikia tupo vizuri tutembee vifua mbele! LMAO 😂😂🤣🤣
I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,553 Dec 10, 2018 #65 Kama nchi tutaachwa mbali
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Feb 24, 2023 #66 Hii sheria ifutwe kabisa
K Katukatu JF-Expert Member Joined Nov 10, 2020 Posts 359 Reaction score 613 Feb 24, 2023 #67 Active kichwa kisomeke nishati endelevu