Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Mathare kale githeri huko.Kenya haiwezi kutajwa kwenye orodha ya extreme poor shitholes.
Ujinga mtupu.All those are LDCs.Kigezo kimoja cha kuwa LDC ni ufukara uliokithiri.Tumieni
vichwa vyenu vizuri.
Anayesema ni mgonjwa wa homa ambaye ametoka kwa mganga kutibiwa sasa hiviUjinga mtupu.
Upuuzi mtupu.Anayesema ni mgonjwa wa homa ambaye ametoka kwa mganga kutibiwa sasa hivi
Unaotekelezwa na mpuuzi weweUpuuzi mtupu.
Upuuzi mtupu.Unaotekelezwa na mpuuzi wewe
Taarifa kutoka World Bank inaonesha Tanzania ndio nchi kusini mwa Sahara inayopiga hatua kubwa za kimaendeleo katika kuondoa umasikini kwa wananchi wake.
View attachment 1218194
DC pekee iko na watu wanakufa njaa 2019 ni kenya.[emoji23][emoji23][emoji23]All those countries are LDC[emoji23][emoji23]
Cooked data should never be taken that serious.Practices from the ground reflected what you are seeing up there [emoji115][emoji115]
DC pekee iko na watu wanakufa njaa 2019 ni kenya.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana huwa nasema wewe ni zero brain...Soma report yote vizuri. Kenya is among sema haijaonyesha any improvement 😂😂😂👇👇👇Kenya haiwezi kutajwa kwenye orodha ya extreme poor shitholes.
Ndo maana huwa nasema wewe ni zero brain...Soma report yote vizuri. Kenya is among sema haijaonyesha any improvement [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Poverty in Africa is heavily concentrated in a few countries. Over 70 percent of the region’s poor people live in just 10 countries—Nigeria, D.R. Congo, Ethiopia, Tanzania, Kenya, Madagascar, Kenya, Mozambique, Uganda, and Malawi. Fortunately, of the 10 countries with the largest number of poor, five are among the fastest poverty reducers listed in Figure 1. Overall during this period, the 10 countries listed in Figure 1 have combined to lift over 13 million Africans out of extreme poverty.
Monetary poverty in Sub-Saharan Africa is based on household consumption and only represents one of many aspects of peoples’ economic well-being. The World Bank’s Multidimensional Poverty Measure
Hizi ni takwimu za bandia ,takwimu gushi kabisa .Taarifa kutoka World Bank inaonesha Tanzania ndio nchi kusini mwa Sahara inayopiga hatua kubwa za kimaendeleo katika kuondoa umasikini kwa wananchi wake.
View attachment 1218194
Lete za kwako za ukweli 😂😂😂Hizi ni takwimu za bandia ,takwimu gushi kabisa .
Kwanza IMF walisema economic growth figures za Tz ni za uongo zile za kweli ni 4% per year economic growth.
Pili ukiona vile gap ya GDP kati ya Kenya na Tz inazidi kuwa na tofauti kubwa huwezi amini hizi ujinga.
huyo jamaa ni mpuuzi usimjibu tena.Namibia is a higher middle income country with an estimated annual GDP per capita of US$5,828
endelea kuhesabu gape ukija kushtuka umeshikilia gape.Hizi ni takwimu za bandia ,takwimu gushi kabisa .
Kwanza IMF walisema economic growth figures za Tz ni za uongo zile za kweli ni 4% per year economic growth.
Pili ukiona vile gap ya GDP kati ya Kenya na Tz inazidi kuwa na tofauti kubwa huwezi amini hizi ujinga.
wakileta ya 2015-2019 unitagHabari ya mwaka 2000-2015 hii.
Watuletee ya hivi karibuni 2019-2020
Mbona Kenya hapo siioni,au itakuwa hiyo chart wameikata hapo chini ...!Taarifa kutoka World Bank inaonesha Tanzania ndio nchi kusini mwa Sahara inayopiga hatua kubwa za kimaendeleo katika kuondoa umasikini kwa wananchi wake.
View attachment 1218194