Tanzania yaongoza Africa kwa kuondoa umasikini

Kenya haiwezi kutajwa kwenye orodha ya extreme poor shitholes.
Ndo maana huwa nasema wewe ni zero brain...Soma report yote vizuri. Kenya is among sema haijaonyesha any improvement 😂😂😂👇👇👇

Poverty in Africa is heavily concentrated in a few countries. Over 70 percent of the region’s poor people live in just 10 countries—Nigeria, D.R. Congo, Ethiopia, Tanzania, Kenya, Madagascar, Kenya, Mozambique, Uganda, and Malawi. Fortunately, of the 10 countries with the largest number of poor, five are among the fastest poverty reducers listed in Figure 1. Overall during this period, the 10 countries listed in Figure 1 have combined to lift over 13 million Africans out of extreme poverty.

Monetary poverty in Sub-Saharan Africa is based on household consumption and only represents one of many aspects of peoples’ economic well-being. The World Bank’s Multidimensional Poverty Measure
 
Inauma but itabidi wazoee tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Taarifa kutoka World Bank inaonesha Tanzania ndio nchi kusini mwa Sahara inayopiga hatua kubwa za kimaendeleo katika kuondoa umasikini kwa wananchi wake.

View attachment 1218194
Hizi ni takwimu za bandia ,takwimu gushi kabisa .

Kwanza IMF walisema economic growth figures za Tz ni za uongo zile za kweli ni 4% per year economic growth.

Pili ukiona vile gap ya GDP kati ya Kenya na Tz inazidi kuwa na tofauti kubwa huwezi amini hizi ujinga.
 
Lete za kwako za ukweli 😂😂😂
 
endelea kuhesabu gape ukija kushtuka umeshikilia gape.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…