Tanzania yaongoza Africa kwa unywaji wa pombe nyuma ya mataifa tajiri ya Ulaya

Tanzania yaongoza Africa kwa unywaji wa pombe nyuma ya mataifa tajiri ya Ulaya

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Top Consuming Country by AlcoholTypeConsumption/Capita
Czech RepublicBeer6.77L
FranceWine6.44L
Cook IslandsSpirits7.07L
TanzaniaOthers6.60L
The importance of local crops couldn’t be overstated. Regions like Africa and Asia that struggle with the right conditions for grapes or hops saw higher consumption of “other” distilled drinks.

These include rice alcohol in South Koreaand Japan, and drinks made from sugarcane, molasses, and even bananas in African countries like Tanzania. Mapped: Countries by Alcohol Consumption Per Capita
 
Huwezi kuamini kwamba tumewapita South Africa kwa mbali sana. Utafiti huu unahusisha hadi pombe za kienyeji unaonesha watanzania wanakunywa liter 7.8 kwa mwaka (wastani) wakati S. Africa ni liter 7.2. Mapped: Countries by Alcohol Consumption Per Capita
South Africa ndio inaoongoza Africa. Bia zinanywewa kwerii kweriii

Afu hawakunywi bar wengi, wengi ni wanashop from stores

Kwamba tumewapita wa Zambia!!!?

Zambia tunaweza kuwapita ila South Africa hatuwapiti.
Tanzania idadi ya Bar, Grosari na kwenye duka la Mangi ni kubwa sana na kote huko ni bia, kitoko, double kick, konyagi hadi za kupima za jero na buku unapata.

Very unreliable research from very unreliable and very unethical researchers
 
Huwezi kuamini kwamba tumewapita South Africa kwa mbali sana. Utafiti huu unahusisha hadi pombe za kienyeji unaonesha watanzania wanakunywa liter 7.8 kwa mwaka (wastani) wakati S. Africa ni liter 7.2. Mapped: Countries by Alcohol Consumption Per Capita
Tanzania watu hawanywi pombe Mkuu mpaka ufananishe na wale walevi wa SA Nchi inapokua lockdown watu wanasafirisha beer kwenye bonet ya gari watu wanakunywa Pombe SA sio kwamba wanatania na zipo aina nyingi za Pombe...
 
Hayo ni yale uliyoona SA maeneo ya miji mikubwa kama J’burg, Capetown nk, Bongo watu wanakunywa hata vijijini pombe inanyweka sana ikiwa ni pamoja na ile ya kienyeji.
 
Back
Top Bottom