| Top Consuming Country by Alcohol | Type | Consumption/Capita |
|---|---|---|
| Czech Republic | Beer | 6.77L |
| France | Wine | 6.44L |
| Cook Islands | Spirits | 7.07L |
| Tanzania | Others | 6.60L |
South Africa ndio inaoongoza Africa. Bia zinanywewa kwerii kweriii
Zambia tunaweza kuwapita ila South Africa hatuwapiti.Kwamba tumewapita wa Zambia!!!?
South Africa ndio inaoongoza Africa. Bia zinanywewa kwerii kweriii
Afu hawakunywi bar wengi, wengi ni wanashop from stores
Kwamba tumewapita wa Zambia!!!?
Zambia tunaweza kuwapita ila South Africa hatuwapiti.
Tanzania idadi ya Bar, Grosari na kwenye duka la Mangi ni kubwa sana na kote huko ni bia, kitoko, double kick, konyagi hadi za kupima za jero na buku unapata.
Very unreliable research from very unreliable and very unethical researchers
Tanzania watu hawanywi pombe Mkuu mpaka ufananishe na wale walevi wa SA Nchi inapokua lockdown watu wanasafirisha beer kwenye bonet ya gari watu wanakunywa Pombe SA sio kwamba wanatania na zipo aina nyingi za Pombe...Huwezi kuamini kwamba tumewapita South Africa kwa mbali sana. Utafiti huu unahusisha hadi pombe za kienyeji unaonesha watanzania wanakunywa liter 7.8 kwa mwaka (wastani) wakati S. Africa ni liter 7.2. Mapped: Countries by Alcohol Consumption Per Capita
Hayo ni yale uliyoona SA maeneo ya miji mikubwa kama J’burg, Capetown nk, Bongo watu wanakunywa hata vijijini pombe inanyweka sana ikiwa ni pamoja na ile ya kienyeji.Tanzania watu hawanywi pombe Mkuu mpaka ufananishe na wale walevi wa SA Nchi inapokua lockdown watu wanasafirisha beer kwenye bonet ya gari watu wanakunywa Pombe SA sio kwamba wanatania na zipo aina nyingi za Pombe...