ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Tanzania ya Samia inazidi kung'ara na kung'ara kiasi kwamba wale haters wake hawajui waanzie wapi au wamalizie wapi kutunga uzushi .
My Take
Huyu ndio Rais Samia anaweka rekodi na kuzivunja mwenyewe. Pia soma Miaka 3 ya Rais Samia, Mageuzi ya Kilimo cha Korosho yaleta neema. Uzalishaji waongezeka mara 2, Wakulima wavuna Trilioni 1.1, haijawahi tokea
Namba hazidanganyi 👇👇
TANZANIA NI YA 5 KWA UZALISHAJI WA KOROSHO DUNIANI! 🥜🇹🇿
Tanzania inazidi kung’ara katika sekta ya kilimo, ikishika nafasi ya 5 duniani kwa uzalishaji wa korosho! Kwa uzalishaji wa zaidi ya tani 528,907 kwa mwaka, sekta hii inaendelea kuchangia kwa kiasi kikubwa uchumi wa nchi na kuboresha maisha ya wakulima wetu. Haya ni mafanikio makubwa yanayoletwa na juhudi za serikali chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye amewekeza katika kuboresha kilimo, miundombinu ya soko, na kuwawezesha wakulima wadogo kwa mbolea na pembejeo za kisasa.
Hizi ndizo nchi 10 zinazozalisha korosho kwa wingi duniani mwaka 2024:
1.Ivory Coast – 970,000 🇨🇮
2.India – 752,000 🇮🇳
3.Vietnam – 341,680 🇻🇳
4.Philippines – 217,583 🇵🇭
5.Tanzania – 216,907 🇹🇿
6.Benin – 215,000 🇧🇯
7.Indonesia – 163,083 🇮🇩
8.Brazil – 147,137 🇧🇷
9.Burkina Faso – 145,246 🇧🇫
10.Mozambique – 144,823 🇲🇿
Juhudi hizi ni sehemu ya dhamira ya Mama Samia kuinua sekta ya kilimo na kuhakikisha mazao ya Tanzania yanapata soko bora duniani. Korosho zetu zinazidi kuiletea heshima Tanzania kimataifa! 🥜✨
Mama Samia anatutendea mazuri, Watanzania tupo naye! 🇹🇿🔥
View: https://www.instagram.com/p/DEUmF9qo3rS/?igsh=Mjg2NHh1eHc5cWE5
Pia soma hapa zaidi Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1899917610231460035?t=R08Gj54K99M1pdfE0M0_1A&s=19