Tanzania yaongoza kwa Uzalishaji wa Korosho Afrika. Namba 5 Duniani

😹😹😹 Ongeza volume Tlaatlaah hajasikia
huyo kijana si anasumbuliwa na ugumu wa maisha kwa sababu ya uvivu wake, na ndio maana ni mkali halafu mbaya zaidi amekata tamaa kabisa,
na kama alikua mnufaika wa hizo dawa anazozitaja na ana hofu kwamba atazikosa,

nimtoe hofu tu,
kama Taifa tumejizatiti dawa atapata tu tena kwa uhakika. Tutauza hata korosho nje tununue dawa ili huyo kijana apate ili asiwe na hofu na ukali wa kuporomosha matusi bila sababu kama hivyo hapo juu 🐒
 
Tanzania ya Samia inazidi kung'ara na kung'ara kiasi kwamba wale haters wake hawajui waanzie wapi au wamalizie wapi kutunga uzushi .

My Take
Huyu ndio Rais Samia anaweka rekodi na kuzivunja mwenyewe. Pia soma Miaka 3 ya Rais Samia, Mageuzi ya Kilimo cha Korosho yaleta neema. Uzalishaji waongezeka mara 2, Wakulima wavuna Trilioni 1.1, haijawahi tokea

Namba hazidanganyi 👇👇
TANZANIA NI YA 5 KWA UZALISHAJI WA KOROSHO DUNIANI! 🥜🇹🇿

Tanzania inazidi kung’ara katika sekta ya kilimo, ikishika nafasi ya 5 duniani kwa uzalishaji wa korosho! Kwa uzalishaji wa takribani 216,907 tani kwa mwaka, sekta hii inaendelea kuchangia kwa kiasi kikubwa uchumi wa nchi na kuboresha maisha ya wakulima wetu. Haya ni mafanikio makubwa yanayoletwa na juhudi za serikali chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye amewekeza katika kuboresha kilimo, miundombinu ya soko, na kuwawezesha wakulima wadogo kwa mbolea na pembejeo za kisasa.

Hizi ndizo nchi 10 zinazozalisha korosho kwa wingi duniani mwaka 2024:

Ivory Coast – 970,000 🇨🇮
India – 752,000 🇮🇳
Vietnam – 341,680 🇻🇳
Philippines – 217,583 🇵🇭
Tanzania – 216,907 🇹🇿
Benin – 215,000 🇧🇯
Indonesia – 163,083 🇮🇩
Brazil – 147,137 🇧🇷
Burkina Faso – 145,246 🇧🇫
Mozambique – 144,823 🇲🇿
Juhudi hizi ni sehemu ya dhamira ya Mama Samia kuinua sekta ya kilimo na kuhakikisha mazao ya Tanzania yanapata soko bora duniani. Korosho zetu zinazidi kuiletea heshima Tanzania kimataifa! 🥜✨

Mama Samia anatutendea mazuri, Watanzania tupo naye! 🇹🇿🔥

View: https://www.instagram.com/p/DEUmF9qo3rS/?igsh=Mjg2NHh1eHc5cWE5

Pia soma hapa zaidi Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika

We can do better hadi kuwa Namba 1. Mimi siridhiki na namba 5 kwa kweli maana tuna mazingira sustainable kuliko hata nchi hizo 5 za juu.

Anyway, naye Mwendakuzimu aliharibu kinamna fulani soko letu mwaka 2018 alipoleta TPDF kwenye biashara. Rest in hell Magufuli
 
Safi sana hii...
 
Ndio juhudi zinazofanywa na Serikali.Mwaka huu 2025 tumevuka tani 400k.
 
We can do better hadi kuwa Namba 1. Mimi siridhiki na namba 5 kwa kweli maana tuna mazingira sustainable kuliko hata nchi hizo 5 za juu.

Anyway, naye Mwendakuzimu aliharibu kinamna fulani soko letu mwaka 2018 alipoleta TPDF kwenye biashara. Rest in hell Magufuli
Screenshot_20250217-114131.jpg
 
Tanzania ya Samia inazidi kung'ara na kung'ara kiasi kwamba wale haters wake hawajui waanzie wapi au wamalizie wapi kutunga uzushi .

My Take
Huyu ndio Rais Samia anaweka rekodi na kuzivunja mwenyewe. Pia soma Miaka 3 ya Rais Samia, Mageuzi ya Kilimo cha Korosho yaleta neema. Uzalishaji waongezeka mara 2, Wakulima wavuna Trilioni 1.1, haijawahi tokea

Namba hazidanganyi 👇👇
TANZANIA NI YA 5 KWA UZALISHAJI WA KOROSHO DUNIANI! 🥜🇹🇿

Tanzania inazidi kung’ara katika sekta ya kilimo, ikishika nafasi ya 5 duniani kwa uzalishaji wa korosho! Kwa uzalishaji wa takribani 216,907 tani kwa mwaka, sekta hii inaendelea kuchangia kwa kiasi kikubwa uchumi wa nchi na kuboresha maisha ya wakulima wetu. Haya ni mafanikio makubwa yanayoletwa na juhudi za serikali chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye amewekeza katika kuboresha kilimo, miundombinu ya soko, na kuwawezesha wakulima wadogo kwa mbolea na pembejeo za kisasa.

Hizi ndizo nchi 10 zinazozalisha korosho kwa wingi duniani mwaka 2024:

Ivory Coast – 970,000 🇨🇮
India – 752,000 🇮🇳
Vietnam – 341,680 🇻🇳
Philippines – 217,583 🇵🇭
Tanzania – 216,907 🇹🇿
Benin – 215,000 🇧🇯
Indonesia – 163,083 🇮🇩
Brazil – 147,137 🇧🇷
Burkina Faso – 145,246 🇧🇫
Mozambique – 144,823 🇲🇿
Juhudi hizi ni sehemu ya dhamira ya Mama Samia kuinua sekta ya kilimo na kuhakikisha mazao ya Tanzania yanapata soko bora duniani. Korosho zetu zinazidi kuiletea heshima Tanzania kimataifa! 🥜✨

Mama Samia anatutendea mazuri, Watanzania tupo naye! 🇹🇿🔥

View: https://www.instagram.com/p/DEUmF9qo3rS/?igsh=Mjg2NHh1eHc5cWE5

Pia soma hapa zaidi Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika

Title ingekuwa
Mama awa gumzo kwa kupandisha kiwango cha uzalishaji wa korosho Afrika na duniani kote
Si eti Lucas Mwashambwa
 
Back
Top Bottom