ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Tanzania ya Samia inazidi kung'ara na kung'ara kiasi kwamba wale haters wake hawajui waanzie wapi au wamalizie wapi kutunga uzushi .
My Take
Huyu ndio Rais Samia anaweka rekodi na kuzivunja mwenyewe. Pia soma Miaka 3 ya Rais Samia, Mageuzi ya Kilimo cha Korosho yaleta neema. Uzalishaji waongezeka mara 2, Wakulima wavuna Trilioni 1.1, haijawahi tokea
Namba hazidanganyi ๐๐
TANZANIA NI YA 5 KWA UZALISHAJI WA KOROSHO DUNIANI! ๐ฅ๐น๐ฟ
Tanzania inazidi kungโara katika sekta ya kilimo, ikishika nafasi ya 5 duniani kwa uzalishaji wa korosho! Kwa uzalishaji wa zaidi ya tani 528,907 kwa mwaka, sekta hii inaendelea kuchangia kwa kiasi kikubwa uchumi wa nchi na kuboresha maisha ya wakulima wetu. Haya ni mafanikio makubwa yanayoletwa na juhudi za serikali chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye amewekeza katika kuboresha kilimo, miundombinu ya soko, na kuwawezesha wakulima wadogo kwa mbolea na pembejeo za kisasa.
Hizi ndizo nchi 10 zinazozalisha korosho kwa wingi duniani mwaka 2024:
1.Ivory Coast โ 970,000 ๐จ๐ฎ
2.India โ 752,000 ๐ฎ๐ณ
3.Vietnam โ 341,680 ๐ป๐ณ
4.Philippines โ 217,583 ๐ต๐ญ
5.Tanzania โ 216,907 ๐น๐ฟ
6.Benin โ 215,000 ๐ง๐ฏ
7.Indonesia โ 163,083 ๐ฎ๐ฉ
8.Brazil โ 147,137 ๐ง๐ท
9.Burkina Faso โ 145,246 ๐ง๐ซ
10.Mozambique โ 144,823 ๐ฒ๐ฟ
Juhudi hizi ni sehemu ya dhamira ya Mama Samia kuinua sekta ya kilimo na kuhakikisha mazao ya Tanzania yanapata soko bora duniani. Korosho zetu zinazidi kuiletea heshima Tanzania kimataifa! ๐ฅโจ
Mama Samia anatutendea mazuri, Watanzania tupo naye! ๐น๐ฟ๐ฅ
View: https://www.instagram.com/p/DEUmF9qo3rS/?igsh=Mjg2NHh1eHc5cWE5
Pia soma hapa zaidi Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1899917610231460035?t=R08Gj54K99M1pdfE0M0_1A&s=19