Tanzania yaongoza kwa Uzalishaji wa Korosho Afrika. Namba 5 Duniani

Kama kueleza Mazuri ya Rais ni kumharibia basi tunaendelea kufanya Kwa Nguvu zote.

Information is power ukisema eti hatuhitaji kupiga kelele kwani wewe wa Uyui Utajua kilichofanyika kwenye korosho bila kuambiwa?

Hater ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kila la kheri.
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Ongeza volume Tlaatlaah hajasikia
huyo kijana si anasumbuliwa na ugumu wa maisha kwa sababu ya uvivu wake, na ndio maana ni mkali halafu mbaya zaidi amekata tamaa kabisa,
na kama alikua mnufaika wa hizo dawa anazozitaja na ana hofu kwamba atazikosa,

nimtoe hofu tu,
kama Taifa tumejizatiti dawa atapata tu tena kwa uhakika. Tutauza hata korosho nje tununue dawa ili huyo kijana apate ili asiwe na hofu na ukali wa kuporomosha matusi bila sababu kama hivyo hapo juu ๐Ÿ’
 
We can do better hadi kuwa Namba 1. Mimi siridhiki na namba 5 kwa kweli maana tuna mazingira sustainable kuliko hata nchi hizo 5 za juu.

Anyway, naye Mwendakuzimu aliharibu kinamna fulani soko letu mwaka 2018 alipoleta TPDF kwenye biashara. Rest in hell Magufuli
 
Safi sana hii...
 
Ndio juhudi zinazofanywa na Serikali.Mwaka huu 2025 tumevuka tani 400k.
 
 
Title ingekuwa
Mama awa gumzo kwa kupandisha kiwango cha uzalishaji wa korosho Afrika na duniani kote
Si eti Lucas Mwashambwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ