Tanzania yapaa kuelekea Bima ya Afya kwa wote chini ya Magufuli

Tayari mmeshaiba ajenda, si mlimbeza Tundu Lissu na kusema anaongea visivyotekelezeka? CCM hebu pisheni wenye mawazo mapya watuvushe acheni udouble standard!
 
Tayari mmeshaiba ajenda, si mlimbeza Tundu Lissu na kusema anaongea visivyotekelezeka? CCM hebu pisheni wenye mawazo mapya watuvushe acheni udouble standard!
Tujitahidi kusoma ilani Za vyama vyenye wagombea wa urais.
Hilo lipo ukurasa wa 136 wa ilani ya CCM ya mwaka 2020.


Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Vyakudandia hamuviwezi nyie! Mtuharibia elimu na bado mnataka mtuharibie afya?!!
 
Tatizo watanzania wameelimika kuliko unavyo dhani, pamoja na kuwa daktari,mchumi nikueleze wazi kuwa bima ya afya ni bomu litakalo iondoa ccm madarakani mwaka huu. Mtoto wa mwaka mmoja analazwa bima inamcover baadhi ya madawa na hailipii gharama za kitanda.huyu mtoto bima unadhani atatibiwa vipi bila kukatwa? Mtumishi wa umma ambaye ni mteja wa bima akiugua macho miwani ni tsh 120,000/= mtumishi analipwa 100,000 bima wanalipwa 20,000 wakati mtumishi anakatwa bima kila mwezi. Usoni wako umekufanya ukawa mchumia tumbo na sio mchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…