Tanzania yapanda kwenye kiwango cha ufisadi duniani...

Tanzania yapanda kwenye kiwango cha ufisadi duniani...

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2009
Posts
1,195
Reaction score
232
Tanzania is less corrupt (102 kati ya 176). Ingawa najua tunasafari ndefu ila serikali iliyopo imefanya kazi kubwa kupunguza na juhudi zinaendelea kufanywa kupunguza hili tatizo. Pia life expentancy imeongezeka (56 yrs). Tushirikiane kuhakikisha tunakomesha rushwa na kuboresha maisha, na si kuilamu serikali kwa kila jambo.
 

Attachments

Kwa kuangalia report mpya ya transaparency International. yenye kuonyesha kiwango cha ufisadi katika nchi zote duniani...(yaani Corruption Perceptions Index 2012).....Tanzania inaonyesha kupanda kwenye ranking ya ufisadi...ikitokea number 100 mwaka jana (2011) hadi 102 mwaka huu.(2012).

Hii ni kwa mujibu wa report hii. hapa iliyotoka jana...
http://www.transparency.org/cpi2012/results...Unaweza kuilinganisha vizuri na report ya mwaka jana...hii hapa...http://www.transparency.org/cpi2011/results....Ukilinganisha utagundua kuwa ni kweli TZ imepanda kwenye kiwango cha ufisadi ukilinganisha na mwaka jana.

Ukisoma kwa makini report hii utaona TZ imepanda toka rank ya 100 (mwaka jana)hadi 102 mwaka huu. Hii inasikitisha sana..haswa ukizingatia kelele zinazopigwa na sekta zote za umma hapa TZ dhidi ya ufisadi.....Kwa mujibu wa Transparency International...ni wazi kuwa corruption ni janga kuu linalokabili utu wa binadamu kwa sasa...na ni wajibu wa nchi na serikali zao ku prioritize vita dhidi ya corruption. Corruption (ufisadi)unapoteza maisha ya watu na pia jamii....na pia ufisadi unadidimiza nchi na taasisi zake... Mwishoni ufisadi (corruption) unasababisha chuki ya jamii ambayo inadhoofisha jamii na kuleta conflicts katika mataifa.

My take:

Ni wakati sasa kwa wale wapinga ufisadi (akiwamo mimi na wewe ofcourse)kuongeza nguvu ya mapambano na kuachana na wale wanaobeza vita dhidi ya ufisadi.....Kuna wanaosema agenda ya ufisadi imepitwa na wakati lakini hii si kweli kwani ni wakati sasa kuifanya hii kuwa agenda kuu haswa.....Refer Transparency International discussions on corruption.....all forms of corruption...from grand corruption to petty corruption and public sector corruption.(bribery, embezzlement, patronage, nepotism, conflict of interest..etc..etc...
http://blog.transparency.org/2012/12/05/corruption-perceptions-index-2012-what-is-public-sector-corruption/
 
Tanzania Secondary School
Teacher: One day Our Country will be Corruption Free. Which tense is it?
Student: Future Impossible Tense.
 
inasemekana uchaguzi wa wajumbe wa NEC ni moja ya sababu zilizotupa heshima kubwa sana huko Transparent International !
 
Back
Top Bottom