Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Orodha ya timu bora za soka kwa wanaume iliyotolewa na FIFA leo oktoba 25, Taifa Stars imeshika nafasi ya 136 ikiwa imepanda kutoka nafasi ya 140 kwa mwezi uliopita
Uganda iliyo nafasi ya 79 inaongoza kwa nchi za Afrika Mashariki ikifuatiwa na Kenya iliyo nafasi ya 105. Rwanda inashika nafasi ya 138 na Burundi ipo katika nafasi ya 142
Aidha, Ubelgiji imefanikiwa kuiondoa Ufaransa katika nafasi ya kwanza huku Nigeria ikiongoza katika bara la Afrika ikiwa katika nafasi ya 44