Ebu wataje na utuambie walifanya nini hasaTatizo ni ubora wa wachezaji wa Yanga pale stars
Sio peke yake ambae hataelewa, utopolo tuko wengi humu, hatuwaelewi Makolo Pinga Pinga mafanikio ya Yanga. Mbona Iko wazi wachezaji wengi wa Taifa Stars ni kutoka utopolo, beki line ni Yanga, mfungaji tegemeo wa Taifa Stars Simon Msuva ni mwananchi kwa Asili kwahiyo ni kweli Yanga ndio imepandisha rank ya Taifa Stars huko Fifa kama hoja ni mafanikio ya Taifa Stars.Sijui kama atakuelewa ule upande wenye akili wawili tu kapoteza muda kuandika mashudu tu..
Hoja yako ipi? Mbona kama vile nyie ndio vilaza mnapinga bila hoja!Vilaza wengi kweli. Sasa yanga anahusikaje hapo
Makolo hawataki kuelewaWachezaji wa klabu Kama wameshiriki timu ya taifa na wamefanya vizuri,timu kupata ushindi.itakuwa wamechangia
..DJ Luc tuendelee tu kumpa maua yake hii tm ni zaidi ya manyani,mwiko uendelee kukaa tu huko nyuma
Ni kweli sina elimu ila kina djuma tshabani na chama hawawezi kutusaidia kwenye ranking za FIFA kama ndio hvyo ENGLAND wangekuwa number moja duniani.Tafuta elimu mkuu