Tanzania yapanda ranks za FIFA. Yanga yachangia?

Tanzania yapanda ranks za FIFA. Yanga yachangia?

Kweli yanga wenye akili ni wawili viwango vya FIFA havipandi kwasababu ya club nadhani ni kwasababu tuna nafasi kubwa ya kufuzu afcon na matokeo mazuri ya siku ya karibuni.
 
Sijui kama atakuelewa ule upande wenye akili wawili tu kapoteza muda kuandika mashudu tu..
Sio peke yake ambae hataelewa, utopolo tuko wengi humu, hatuwaelewi Makolo Pinga Pinga mafanikio ya Yanga. Mbona Iko wazi wachezaji wengi wa Taifa Stars ni kutoka utopolo, beki line ni Yanga, mfungaji tegemeo wa Taifa Stars Simon Msuva ni mwananchi kwa Asili kwahiyo ni kweli Yanga ndio imepandisha rank ya Taifa Stars huko Fifa kama hoja ni mafanikio ya Taifa Stars.

Kikosi Cha kwanza Taifa Stars Kuna utopolo watano Nondo, Job, Bacca , Msuva na Mudathir, Simba ni Kibu tu mmoja tu kama dawa tena si kila mechi anaanza, na huwa hamalizi mechi lazima aende benchi , Kolo fc mkiitwa mbumbumbu hamtaki , sisi Utopolo tuna wawili wenye akili Kikwete na Sunday Manara nyie Simba ni mmoja tu mwenye akili aliewaita mbumbumbu Aden Rage, sisi Utopolo tuna makombe nyie Makolo mna kelele na matusi tu, hapo nani zaidi?
 
Kweli yanga wenye akili ni wawili viwango vya FIFA havipandi kwasababu ya club nadhani ni kwasababu tuna nafasi kubwa ya kufuzu afcon na matokeo mazuri ya siku ya karibuni.
Tafuta elimu mkuu
 
Wachezaji wa klabu Kama wameshiriki timu ya taifa na wamefanya vizuri,timu kupata ushindi.itakuwa wamechangia
 
DJ Luc tuendelee tu kumpa maua yake hii tm ni zaidi ya manyani,mwiko uendelee kukaa tu huko nyuma
..
FB_IMG_1688093485523.jpg
 
Back
Top Bottom