Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
kuna uwezekano wa mpaka 95% kombe hilo likabaki TZShirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limefanya droo rasmi ya upangaji wa makundi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambapo Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imepangwa katika Kundi L pamoja na timu za taifa za Nigeria, Madagascar na Guinea-Bissau.
Katika droo hiyo iliyofanyika Mei 19, 2026, timu mbalimbali zimepangwa katika makundi 12, kuanzia Kundi A hadi Kundi L, huku kila kundi likiwa na timu nne zitakazoshindana kwenye mashindano hayo makubwa ya soka barani Afrika.
Mashindano hayo yataandaliwa kwa pamoja na nchi za Kenya, Tanzania na Uganda, na yanatarajiwa kufanyika kuanzia Juni 19 hadi Julai 17, 2027.
Je, unaonaje nafasi ya Taifa Stars dhidi ya Nigeria na wababe hawa wa Kundi L? Watatoboa kweli?
Soma pia
Kichwa cha mwendawazimu kinafanyaje vizuriHadi sasa serikali inaruka ruka tu, ilipaswa huu mwaka mzima wachezaji waanxe kuandaliwa kama timu B, baadaye wanaunganishwa na timu A kupata mjumuiko wa timu itayowakilisha nchi...
Tumekazana kuandaa viwanja tu wakati muamko utakuwa mkubwa endapo kama taifa tutafanya vizuri
Mwenyeji hata akifungwa mechi zote,yeye alishafuzu tyr ,yani lazima ashiriki mashindanoItakuwaje kama wenyeji wasipofuzu ?
Si mmeletewa riofernand na drogba..Hadi sasa serikali inaruka ruka tu, ilipaswa huu mwaka mzima wachezaji waanxe kuandaliwa kama timu B, baadaye wanaunganishwa na timu A kupata mjumuiko wa timu itayowakilisha nchi...
Tumekazana kuandaa viwanja tu wakati muamko utakuwa mkubwa endapo kama taifa tutafanya vizuri
nikubaka sio kubaki,hongera sana mkuu kwa kulitambua hilo mapema.kuna uwezekano wa mpaka 95% kombe hilo likabaka TZ
Unakijua kichwa cha mwendawazimu, hata mtoto anakinyoaHili kombe linabaki Tanzania.
Labda wahonge uongoz wa CAF else hata wabebwe vipHili kombe linabaki Tanzania.
Watachapwa vibokoItakuwaje kama wenyeji wasipofuzu ?
Hapo atawahujumu wake ambao hawana nafasi hiyo kwenye kundi maana hawatakiwa siriaz sanaMwenyeji hata akifungwa mechi zote,yeye alishafuzu tyr ,yani lazima ashiriki mashindano
Inabidi akaze maana ndo kipimo cha yeye ataenda kufanya nini kwenye mashindano piaHapo atawahujumu wake ambao hawana nafasi hiyo kwenye kundi maana hawatakiwa siriaz sana