Tanzania yapata Sh trilioni 1 kufadhili programu za kilimo

Tanzania yapata Sh trilioni 1 kufadhili programu za kilimo

Unapomuita Samia mama kakuzaa? Iman yako ya dini usiifanye kuwa Imani ya kila mtu. Unatumia haya za qruan kitabu ambacho kwa wengine sisi hatukiamini. Biblia ipi unayofundisha watu iliyokataza kuwaita watu baba? Jikite kwenye msaafu huku kwingine tuachie wahusika.
Biblia wala Qur'an haijakataza kumwita mtu mama, hata wewe ukitaka nikuite mama ntakuita.

akini baba, hapana.
 
Unafagilia kukopeshwa fedha ambayo mwisho wa siku tutawajibika kuirejesha, ndiyo unaiita kufanya kweli kwa Bashe na Mama Samia? Unasherekea mipango badala ya matokeo? Una uhakika gani kama hiyo fedha haitachepushwa kama ilivyokawaida kwa serikali??

Unazi wako unatia shaka!!
Kama hukopesheki huwezi kukopeshw na huwezi kukopa.

Nchi haziendeshwi kwa matamanio yetu, zina vigezo vyake.
 
Wacha kukufuru wewe, utamwitaje "baba" ambae hata kuzaa hawezi? Unakwenda kinyume kabisa hata na biblia:

Mt 23:9-12 SUV Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni...

Nawas ibn Dawas (abuu hureila) mnamuita baba wa mapaka aliwazaa nyau??
Adija unamuita mama wa waumini amewazaa??
Ibn abd allah na allah wakati wanatoa hayo maagizo hawakuiona hiyo aya???

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom