Kwanini usitengeneze chanjo zako?
Umechutama umejificha uvunguni unasubiri wazungu wakuletee machanjo wewe ni kubugia tu?
Ukiulizwa, ati oooh tunafuata SAYANSI!
Kwako SAYANSI ni machanjo yaliyotoka Ulaya? Chochote ambacho hakijatoka Ulaya sio SAYANSI?
Jitegemeenii, msiwe viwete wa kujitakia. Acheni kusujudia pesa za wazungu zitaiponza nchi.
Mna madini, rasilimali, ardhi kubwa yenye rutuba, misitu, wanyama, mafuta, gesi, nguvu kazi, lakini hamuachi kubabaika na wazungu!
Sayansi my foot! ingia maabara, fanya utafiti na majaribio... tengeneza chanjo!
Si mnajiita wasomi nyie!