Wakiambiwa kuhusu kukandamiza upinzani watakuambia hii ni nchi huru wasituingilie,beberu ni mhisani mfadhili atoapo pesaCCM kuwaelewa unatakiwa uwe MWENDAWAZIMU!!
Hivi mnajisikiaje, baada ya kila siku kuwakumbusha kwamba tunawaita mabeberu - ili wasitoe misaada yao, lakini misaada inazidi kuja kwa serikali ya awamu ya tano. Mnajisikiaje?
Na kuwaelewa CHADEMA lazima uwe KICHAA KABISA.Kuwaelewa CCM unatakiwa uwe MWENDAWAZIMU!!
Kuna mtu ambaye hataki pesa ya bure isiyokuwa na masharti ye yote. Ni misaada yenye masharti ndiyo tulishasema hatuitaki.Sisi wenyewe tulishasema hatuwataki, mbona wewe unakua kigeugeu kupenda vya bure? Utaolewa.
Si mliwaambia watunyime misaada wamekataa ! Wivu wa nini tena jamani ? Wameshatuelewa kalageni baho! Mwendo mdundo !Dahh...
Jamani tulishaolewa. Hatuji banduka aisee.
JPM anavyo pambana kubadili hali hii nyie mna mbeza! Tulieni kimya nchi inatafutiwa muarobaini ! Like it or not yote sawa tu !Nashangaa sana miaka 50 ya Uhuru and counting bado tunapokea misaada kwenye sector ya elimu, lakini bado tunasisitiza kuzaliana, tuongezeke, burden izidi kuongezeka kwenye jamii, mzungu atatusaidia mpaka Lini? Hizi hatuoni watu wanavyozaliana kwa kasi ni mzigo kwenye jamii? Kwanini ni watu tusioona hii ni kuzalilishwa?
miss zomboko,
Mmeanza kupokea pesa za maadui zetu? Maana siku hizi kuna siasa za majitaka, wapinzani wakiongea na hao hao wazungu wanaotoa misaada wanaambiwa wanashirikiana na maadui zetu! Lakini serikali ikipokea pesa za wazungu wanageuka sio maadui zetu!
Ongea na wazungu bila kuisema vibaya nchi yako, sema wapinzani wa Afrika wana matatizo makubwa sana, kila akiona ngozi nyeupe anaanza kumwaga mabaya ya nchi yake.