Tanzania yaporomoka kwa kasi fifa ranking

Tanzania yaporomoka kwa kasi fifa ranking

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
fifa leo wametoa ranking ya mataifa mbalimbali huku germany ikiendelea kuongoza duniani huku belgium ikiweka record ya kushika nafasi ya 2 kwa mara ya kwanza kabisa.
Tanzania imeporomoka kwa kasi kutoka nafasi ya 100 hadi nafasi ya 127.
1. Germany
2. Belgium
3. Argentina
4. Colombia
5. Brazil
6. Netherlands
.
.
.
.
.
.
.
.
127. Tanzania
 
mi nikajua ya 200 na bdo tutaporomoka sana
 
Labda kuna rank ya ubunifu wa jezi.....tunaisubiri
 
Sasa wachezaji wanaoenda kubadili hali ya hewa sio kucheza mpira lazima iporomoke
 
FIFA yenyewe imeporomoka sasa kwa nini Tanzania isiporomoke?
 
Chini ya uongozi wa JAMAL MALINZI pale tff tusitegemee hata siku moja tz kupata mafanikio, alimtimua kim poulsen bila sababu za msingi, akaleta kanuni ya mchezaji mwenye kadi tatu za njano kuchagua mechi ya kucheza,......
Na bado itashuka sana mpaka itakuwa ya mwisho.
 
Back
Top Bottom