Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,307 Reaction score 25,932 Jun 4, 2015 #1 Katika viwango vipya vya soka vilivyotolewa mwezi huu na FIFA,Tanzania imeporomoka kwa nafasi 20. Imetoka nafasi ya 107 hadi 127. Katíka top three Argentina imeteremka toka nafasi ya 2 hadi ya 3 na sasa nafasi ya 2 inashikiliwa na Ubelgiji.
Katika viwango vipya vya soka vilivyotolewa mwezi huu na FIFA,Tanzania imeporomoka kwa nafasi 20. Imetoka nafasi ya 107 hadi 127. Katíka top three Argentina imeteremka toka nafasi ya 2 hadi ya 3 na sasa nafasi ya 2 inashikiliwa na Ubelgiji.