Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Katika viwango vipya vya soka vilivyotolewa mwezi huu na FIFA,Tanzania imeporomoka kwa nafasi 20. Imetoka nafasi ya 107 hadi 127. Katíka top three Argentina imeteremka toka nafasi ya 2 hadi ya 3 na sasa nafasi ya 2 inashikiliwa na Ubelgiji.