Tanzania yapoteza mechi ya kwanza WAFCON 2024 nchini Morocco

Tanzania yapoteza mechi ya kwanza WAFCON 2024 nchini Morocco

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Timu ya taifa ya wanawake Twiga stars wamepoteza mechi yao kwanza katika mashindano ya kombe la mataifa Afrika kwa wanawake yaani WAFCON dhidi Mali kwa goli 1-0

1751922157748.png
 
Cocus kwenye friendly games. Ikija michuano inakuwa focus-less
 
Mechi kubwa na muhimu
Clara Luvanga hayupo
Oppa Clement Sanga hayupo
Aisha Masaka tunajua ana maumivu
Yule beki wa Bunda girls mwenye roho mbaya hayupo
Unajaribu wachezaji wasiojulikana Ili?
 
Ebwana hii mido ya mali namba 20 hatari inapepeta mpira aio poa.
Ile backline yao huko nyuma balaa yote wameenda hewani alafu beki kweli kweli.
 
Mechi kubwa na muhimu
Clara Luvanga hayupo
Oppa Clement Sanga hayupo
Aisha Masaka tunajua ana maumivu
Yule beki wa Bunda girls mwenye roho mbaya hayupo
Unajaribu wachezaji wasiojulikana Ili?
kwanini hawapo je,hawajaitwa,au majeruhi au kocha hawachezeshi au wana shida gani wote hao.?
 
Back
Top Bottom