Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Heading is misleading. Inapotosha, wanataka kujiridhisha wataipokea baada kuonekana ufanisi wake. Itakusaidia na wewe, familia yako.Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa haina mpango wa kupokea chanjo ya Covid19 ambayo imekuwa ikiripotiwa kuwepo na kutumika katika mataifa mengine...
Acha ujinga kwa ARV ndio nini bhana wewe kama una ngoma jibebe, ila chanjo hatuitakiLakini ARV watu waendelee kubugia kama karanga ?
A
Acha ujinga kwa ARV ndio nini bhana wewe kama una ngoma jibebe, ila chanjo hatuitaki
Hapana, hizo ARV na za kupiga marufuku piaLakini ARV watu waendelee kubugia kama karanga ?
Tumeshasema hadi tutakapojiridhisha, na hatujui lini tutajiridhidha liniWakatae na chanjo nyingine basi! Wasiishie kwenye hiyo chanjo ya Corona tu. Waende mbali zaidi! Ikibidi hata madawa yote yatengenezwe Nchini.
Wakatae na chanjo nyingine basi! Wasiishie kwenye hiyo chanjo ya Corona tu. Waende mbali zaidi! Ikibidi hata madawa yote yatengenezwe Nchini.
Sisi Waafrika ndio wanataka kutufanyia testing ndio maana wanaforce hizo chanjoMore data, testing, result, efficacy, effectiveness are needed...
More data, testing, result, efficacy, effectiveness are needed.Wako mbioni wanajiridhisha au wameshajiridhisha kwamba haifai ?, Na kama wamefanya hivyo na sisi pia ni WHO, kwanini tusiwape hizo findings wenzetu wasiangamie ?, AU ndio genes za Uchawi, na Roho Mbaya ?
Kwamba nchi za jirani hawasemi wao wenyewe juu ya mlipuko nchini mwao?"Mlipuko wa covid19 nchi za jirani" uongo mbaya kuliko wote ni ule wa kujidanganya mpaka mwenyewe