joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Una mawazo mazuri sana.Kwa mtizamo na mawazo yangu ,kweli ni vizuri kujilizisha kabla hatuanza kuzitumia,kwani UK chanjo yao baada ya kuitumia ndipo kikaibuka kirusi cha aina nyingine cha Corona ambacho kina nguvu kuliko cha kwanza...
Siyo kwamba hawatumii wao washajiandaa kutumia hizo chanjo na washaanza kuwaandaa wananchi waoSisi WaAfrika ndio wanataka kutufanyia testing ndio maana wanaforce hizo chanjo
Ukiona mtu anaamini hadithi za kitaahira kama hizi unasikitka sana, cha ajabu unakuta ana familia wanamtegemea kwa ushauri. Ndio maana hii nchi ujinga hautaisha.View attachment 1691739Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!
Juhudu kubwa zimekuwa zikifanywa na mataifa ya magharibi kuhakikisha idadi ya waAfrika weusi inabaki kuwa minority na hivyo oppressed zaidi duniani. Hili limefanyika kwa kusambaza magonjwa ya kuua watu wengi kwa mpigo kama 'Ebola', 'ARV na Ukimwi', Tuskegee syphilis experiment - Wikipedia...www.jamiiforums.com
kwa nia njema kabisa ni hadi tujiridhishe na si vinginevyo,” amesema Dk Gwajima.
Naunga mkono hoja, ARV zipigwe marufuku ili mpaka wizara ijiridhishe na usalama wake. Mwarubaini, na miti shamba mingine itumike wakati wizara inajiridhisha.Hapana, hizo ARV na za kupiga marufuku pia
Hata ARV hatuzitaki, ni virusi hivyo hivyo tumeshaambiwa ni futa likifukizishwa linayeyuka. Hizo hela za misaada ya kununua ARV zitumike kupunguza deni la taifaA
Acha ujinga kwa ARV ndio nini bhana wewe kama una ngoma jibebe, ila chanjo hatuitaki
Tupeni chanjo ya kukopa WORLD BANK& IMF bila riba, hiyo tu ndio tuna shida nayoSerikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa haina mpango wa kupokea chanjo ya Covid19 ambayo imekuwa ikiripotiwa kuwepo na kutumika katika mataifa mengine...
kwani wewe unachotaka ni nini, mbona unaweweseka sana una corona nini maana sio kwa kudai hukoHata ARV hatuzitaki, ni virusi hivyo hivyo tumeshaambiwa ni futa likifukizishwa linayeyuka. Hizo hela za misaada ya kununua ARV zitumike kupunguza deni la taifa
Mlipuko uko Tanzania au nchi jirani? Udaktari tupa kule, sasa ni uongo uliokomaa, yaani siasa!Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa haina mpango wa kupokea chanjo ya Covid19 ambayo imekuwa ikiripotiwa kuwepo na kutumika katika mataifa mengine...
Suala la kutokuwa na mpango wa chanjo ya Covid-19 sio la kupenda kwa Tanzania, bali ni hali imelazimisha kwa kuwa serikali haina kabisa fedha za kununua chanjo. Kumbuka tukitaka kuleta chanjo lazima ije ya kutosha watanzania wote, karibu milioni 45. Hatuna fedha, period.Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa haina mpango wa kupokea chanjo ya Covid19 ambayo imekuwa ikiripotiwa kuwepo na kutumika katika mataifa mengine...
Mimi nasema hivi, tuachane na hizi dawa kutoka mataifa ya nje kwa hata magonjwa mengine, kwa sababu hao hao tusiowaamini na chanjo zao wanaweza kutuwekea vitu visivyo salama kwenye chanjo na dawa dhidi ya magonjwa mengine wanazotupa. Unafikiri tunavyogomea hizo chanjo kama wana nia ovu watuacha salama ?kwani wewe unachotaka ni nini, mbona unaweweseka sana una corona nini maana sio kwa kudai huko