Waziri wa afya Dr Gwajima amesema serikali haina mpango wa kupokea chanjo ya Corona kwa sababu nchi iko salama na haina maambukizi ya Covid 19.
Dr Gwajima amewataka watanzania kutumia dawa lishe ambazo hata yeye na familia yake wanazitumia na zimewasaidia sana.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Umenena mkuu hii janja janja ni kutaka kukwepa tu jukumu la kuzinunua!!na hizo dose ni mbili, ukishapigwa baada ya miezi 3, utarudiwa tena!!wanajidanganya kuwa labda kuna msaada utakuja!!nani akusaidie wakati kila mtu nyumba yake inawaka moto?!!kila siku si anajisifia kuwa donor country haya sasa!!Chanjo ya corona ni ghali sana; Ulaya ni kama 5000/= mtu mmoja! Ikifika huku Afrika bei inaweza kuwa mara tatu zaidi! Nadhani hiyo ndiyo changamoto inayowafanya watawala wetu wakatae mpango.
Mbona wewe unadunda tu!
Hizo dawa zimemsaidia kutibu ugonjwa gani?Kweli njia ya muongo ni fupi.Waziri wa afya Dr Gwajima amesema serikali haina mpango wa kupokea chanjo ya Corona kwa sababu nchi iko salama na haina maambukizi ya Covid 19.
Dr Gwajima amewataka watanzania kutumia dawa lishe ambazo hata yeye na familia yake wanazitumia na zimewasaidia sana.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hivi kwann Urusi hataki kutumia chanjo ya USA na UK? Kwanini USA hataki kutumia chanjo ya URUSI au China? Kwani kuna siri gani kwenye hili gonjwa na chanjo zake? Basi kama ni hivo kila mtu ajikinge kadri awezevyo maana wote hatuaminiani.Kuna Uzi nimetoa mawazo yangu kuhusu COVID 19 nimeandamwa sana na wajuaji, nimesikia maelezo ya Dr. Gwajima, nimeshangaa sana akishauri tutumie dawa za asili, kweli?
katika karne hii Waziri na msomi wa level yake anashauri tukamuone Dr. Mwaka.
Busara kubwa sana inahitajka katika hili, Mungu atusaidie.
hata wajinga nao wamepewa uhuru wa kuchangia kwenye jamii yenye demokrasia. Hivyo tunathamini mchango wako ndugu.Tunazidi kutengeneza historia itakayoishangaza dunia kwa vizazi vijavyo.....akili zetu ziko na shida .
Kachukue hiyo chanjo uitumieNi hivi wasituamlie wapo tunaohitaji chanjo.
Mkichanjwa huko... "mtatuletea 'kolona' za ajabu ajabu"Hivi mfano Maalim Seif akiamua yeye binafsi achajwe maana ametuambia anaumwa Corona watamzuia kweli? Swala la afya ya mtu binafsi ni personal huwezi kunipangia kwa kuwa tuu unataka political mileage.
Kama hatuwaamini basi tuanze kukataa na ARVs chief, watatumaliza hawa, ila kumbuka uliowataja ni MAGIANT chief, wote wanajiweza, vp sisi ambao bado malaria na kipindu pindu vinatusmbua wakati suluhisho ni usafi tunaanzaje kujifanya wabishi.Hivi kwann Urusi hataki kutumia chanjo ya USA na UK? Kwanini USA hataki kutumia chanjo ya URUSI au China? Kwani kuna siri gani kwenye hili gonjwa na chanjo zake? Basi kama ni hivo kila mtu ajikinge kadri awezevyo maana wote hatuaminiani.
Kikombe cha Ulevi wa Madaraka kimejaa, Sasa wanatafuta KupinduliwaWaziri wa afya Dr Gwajima amesema serikali haina mpango wa kupokea chanjo ya Corona kwa sababu nchi iko salama na haina maambukizi ya Covid 19...
Chanjo hapewi mtu mwenye kuumwaHivi mfano Maalim Seif akiamua yeye binafsi achajwe maana ametuambia anaumwa Corona watamzuia kweli? Swala la afya ya mtu binafsi ni personal huwezi kunipangia kwa kuwa tuu unataka political mileage.
Kupinduliwa na nani?Kikombe cha Ulevi wa Madaraka kimejaa, Sasa wanatafuta Kupinduliwa
Sahihi kabisa!Chanjo hapewi mtu mwenye kuumwa
Corona na ukimwi ni vitu viwili tofauti kabisa bwashee!Kwani kila mtu alikufa na ukimwi? Kwakuwa kuna ambao hawajaugua ukimwi, hivyo ukimwi haupo?