Tanzania yashika nafasi ya pili Afrika kwa ukuaji wa uchumi

Tanzania yashika nafasi ya pili Afrika kwa ukuaji wa uchumi

Na nni mbaya zaidi kwa Wapenda ukweli wote!! Pia ni habari njema sana kwa wanaopenda kudanganywa! Hilo gazeti ni la mtaa gani kwanza? Kwenye issue za uchumi tunaliamini kabisa Economist!
Pambana na hali yako
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Bravo my beloved country TANZANIA
Bravo my President JPM
 
Uchumi usiogusa maisha ya raia hauna maana kabisa.. Ukuaji wa uchumi lazima uendane na mabadiliko chanya kwenye maisha ya wananchi
NARUDIA TENA, UNAJUA MAANA YA UCHUMI?
 
Leo March 16, 2018 Jarida maarufu la Business Chief limeitaja Tanzania kama taifa la pili lenye uchumi unaokuwa kwa kasi zaidi barani Africa. Tanzania uchumi wake unakua kwa asilimia 7 imeshika nafasi ya pili nyuma ya Ivory Cost ambayo uchumi wake unakuwa kwa asilimia 8.5.

Orodha hiyo inayotangazwa kila mwaka, imesheheni mataifa ya Africa mashariki kwani ndio ukanda ambao umetajwa kuwa na uchumi unaokuwa kwa kasi, huku kilimo, utalii, usafiri, mawasiliano na biashara zikitajwa kama sekta zinazotazamwa na kuingiza vipato vikubwa

Source : MillardAyo
Kweli we muuza ngada
 
wabongo tumevurugwa kudadeki tunapinga kila kitu hatuaminiani kwetu kila mtu mbaya aiseee
 
Back
Top Bottom