Tanzania yashika nafasi ya sita kwa wagonjwa wengi wa TB Afrika

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
dk+seif+rashid.jpg

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid

​
Tuberculosis-x-ray-1.jpg

KWA UFUPI
Alisema kwa mujibu wa takwimu za kawaida zinazopatikana kutoka katika vituo vya kutolewa huduma za afya , zinaonyesha kuwa maambukizi mapya yanatokea miongoni mwa rika la vijana wenye umri kati ya miaka 25 na 44, kama ilivyo Virusi Vya Ukimwi.

Dar. Maambukizi ya Ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) yameendelea kushika kasi nchini ambapo Tanzania inatajwa kuwa ni nchi ya 22 duniani kwa kuwa na wagonjwa wengi wa TB huku ikishika nafasi ya sita kwa kuwa na wagonjwa wengi wa TB barani Afrika.

Akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Seif Rashidi, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Donan Mmbando alisema takwimu za Wizara ya Afya zinaonyesha kuwa mwaka 2013 wagonjwa wa Kifua Kikuu 65,000 waligunduliwa.

Alizitaja aina mbili za Kifua kikuu ikiwamo cha mapafu ambacho hushambulia mapafu pekee na cha nje ya mapafu, huku akibainisha kuwa cha mapafu ndiyo kinaongoza hapa nchini.

“Kifua Kikuu ni tatizo na kinashambulia zaidi vijana ambao ndiyo tegemeo la taifa hili, hivyo kudhoofisha uchumi wa nchi, hivyo wizara ili kunusuru kizazi hicho inaongeza juhudi za kuhakikisha inatokomeza kama siyo kukimaliza kabisa, alisema Mmbando.

Alisema kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO), kati ya watu milioni tisa wanaougua ugonjwa huo duniani kwa mwaka, theluthi moja ya hao hawatambuliki katika mifumo ya sekta ya afya, huku sehemu ya hao milioni tatu wanaishi katika nchi masikini ikiwamo Tanzania.

Alisema kwa Tanzania watu wanaoshambuliwa zaidi na ugonjwa huo ni katika makundi maalumu kama vile watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi, watoto, wazee, wafungwa na watu wenye magonjwa ya muda mrefu kama saratani na kisukari.

Meneja Mipango wa Wizara hiyo Dk. Beatrice Mutayoba alisema kuwa pamoja na juhudi zinazofanywa kudhibiti ugonjwa huo bado ni tatizo kwa jamii na kila mwaka wagonjwa wapatao 63, 000 hugundulika. Huku Mikoa kama Dar es Salaam, Mwanza, Shinyanga, Mbeya, Morogoro, Mara, Arusha na Tanga ikiongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi.

“Hadi sasa kuna changamoto wa kuwabaini wagonjwa wa kifua kikuu, kwani kati ya wagonjwa 65,732 waliobainika katika takwimu za Kitaifa za kubaini wagonjwa zilizofanyika mwaka 2012, sawa na asilimia 54 pekee huku wagonjwa 56,000 hukosa kugundulika na kupata matibabu hivyo kuendelea kuwaambukiza wengine, ”alisema Dk. Mutayoba.

Dk Mutayoba pia aliwataka wananchi kutodharau kifua cha aina yoyote kwa sababu hakuna kifua cha kawaida, hivyo kila anayekohoa anahitaji kupata ushauri wa daktari na vipimo.

“Kifua siyo ugonjwa wa kurithi, kinaambukizwa, kina tiba na kinapona kabisa, hivyo kila anayekohoa anahitaji kupata tiba na vipimo sahihi badala ya kuona ni cha kawaida, ”alisema Mutayoba. chanzo.Tanzania yashika nafasi ya sita kwa wagonjwa wengi wa TB Afrika - Kitaifa - mwananchi.co.tz

Ni jambo la heri kugundua wagonjwa wa TB kuliko kuwagundua

mkuu hiyo takwimu unaionaje...tuna hali nzuri?
 
Kinachoniuma mimi ni kwamba watu wa sekta ya afya wanaohusika na upimaji/utoaji wa dozi za TB wana uroho sana wa kuwapima wagonjwa wa TB kuona kama wana VVU(VVU feki).Na kutokana na sayansi ya vipimo vya HIV jinsi ilivyo,ni rahisi sana mgonjwa wa TB kuwa HIV+,hapa watu wengi sana hawajui ukweli huu.Mgonjwa wa TB kuonekana kwenye vipimo kwamba ni HIV+ haimaanishi kwamba ni kweli ana HIV.Hili ni suala pana kidogo.
Baada ya kupimwa HIV+ wagonjwa wa TB huanza kuingizwa kwenye mlolongo wa kutumia dawa namba moja duniani inayoongoza kwa sumu na kuua,ARVs.Wakati wagonjwa hawa hutumia dawa za ARVs,hutumia na za TB pia.Baada ya muda hupona kabisa TB na kuanza kunenepa,hapa watu ndipo wanadanganyika kwamba ARVs ndizo zilizomfanya apate nafuu/anenepe,tumedanganywa ndugu zangu.Huyu mtu atalazwa chini na ARVs baada ya muda fulani huku watu wakisema "alikufa kwa HIV/VVU",kwa kweli inasikitisha sana,watu hawajui kama ARVs ndizo zinazoua na ndizo zinazosababisha upungufu wa kinga kwa kuua DNA chain kinyume na vile tulivyoambiwa zaidi ya miaka 30 iliyopita.Kuna msemo unasema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"

........Alisema kwa Tanzania watu wanaoshambuliwa zaidi na ugonjwa huo ni katika makundi maalumu kama vile watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi, watoto, wazee, wafungwa na watu wenye magonjwa ya muda mrefu kama saratani na kisukari.......

Hoja ya kisayansi:Ni kweli haya ni makundi sahihi kwa ugonjwa huu;

1.Wanaoishi na VVU-Nilishaelezea kwa kifupi hapo juu kwa nini watu wenye TB wanahusishwa na ugonjwa huu.
2.Watoto na wazee-hawa kinga zao si imara sana kama watu wenye umri wa kati.
3.Wafungwa-hawa mara nyingi ni watu wenye msongo wa mawazo,msongo hushusha kinga ya mwili na jinsi wanavyoishi gerezani pia huchangia maambukizi.
4.Saratani na kisukari-Ukifanya uchunguzi kwa watu wenye magonjwa haya utakuta kinga yao iko chini,na hii husababishwa na kiwango kikubwa cha tindikali kwenye damu zao kitu ambacho hasa ndicho kilichosababisha magonjwa haya na kitu hiki ndicho hushusha kinga kwa wagonjwa hawa.Katika baadhi ya post zangu niliwahi kusema kwamba ARVs pia zinasababisha kuongezeka kwa tindikali kwenye damu zinapotumika kwa muda mrefu,kuongezeka kwa tindikali kwenye damu ndio kudhoofu kwa kinga.
Tujifunze kuunganisha matukio ili kubaini ukweli ulivyo.
 
Kuna Biashara hapo inayofanyika katika Wizara ya Afya ndio maana ukionekana una Maradhi ya TB utahusishwa na Virusi vya Ukimwi HIV ili watu wapate kula. Mkuu Deception Amka....

Tanzania takwimu kama hizi ndio huwa tuko juu.
Tanzania tuko juu kuhusu hayo Maradhi ya Kifuwa kikuu (TB) kuliko hata huo Ukimwi mkuu Analyse
 
Hali ni mbaya sana mkuu,nadhani hata mazingira ya nchi yetu yanachangia
 
dk+seif+rashid.jpg

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid

​
Tuberculosis-x-ray-1.jpg

KWA UFUPI
Alisema kwa mujibu wa takwimu za kawaida zinazopatikana kutoka katika vituo vya kutolewa huduma za afya , zinaonyesha kuwa maambukizi mapya yanatokea miongoni mwa rika la vijana wenye umri kati ya miaka 25 na 44, kama ilivyo Virusi Vya Ukimwi.

Dar. Maambukizi ya Ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) yameendelea kushika kasi nchini ambapo Tanzania inatajwa kuwa ni nchi ya 22 duniani kwa kuwa na wagonjwa wengi wa TB huku ikishika nafasi ya sita kwa kuwa na wagonjwa wengi wa TB barani Afrika.

Akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Seif Rashidi, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Donan Mmbando alisema takwimu za Wizara ya Afya zinaonyesha kuwa mwaka 2013 wagonjwa wa Kifua Kikuu 65,000 waligunduliwa.

Alizitaja aina mbili za Kifua kikuu ikiwamo cha mapafu ambacho hushambulia mapafu pekee na cha nje ya mapafu, huku akibainisha kuwa cha mapafu ndiyo kinaongoza hapa nchini.

Alisema kwa mujibu wa takwimu za kawaida zinazopatikana kutoka katika vituo vya kutolewa huduma za afya , zinaonyesha kuwa maambukizi mapya yanatokea miongoni mwa rika la vijana wenye umri kati ya miaka 25 na 44, kama ilivyo Virusi Vya Ukimwi.

“Kifua Kikuu ni tatizo na kinashambulia zaidi vijana ambao ndiyo tegemeo la taifa hili, hivyo kudhoofisha uchumi wa nchi, hivyo wizara ili kunusuru kizazi hicho inaongeza juhudi za kuhakikisha inatokomeza kama siyo kukimaliza kabisa, alisema Mmbando.

Alisema kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO), kati ya watu milioni tisa wanaougua ugonjwa huo duniani kwa mwaka, theluthi moja ya hao hawatambuliki katika mifumo ya sekta ya afya, huku sehemu ya hao milioni tatu wanaishi katika nchi masikini ikiwamo Tanzania.

Alisema kwa Tanzania watu wanaoshambuliwa zaidi na ugonjwa huo ni katika makundi maalumu kama vile watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi, watoto, wazee, wafungwa na watu wenye magonjwa ya muda mrefu kama saratani na kisukari.

Meneja Mipango wa Wizara hiyo Dk. Beatrice Mutayoba alisema kuwa pamoja na juhudi zinazofanywa kudhibiti ugonjwa huo bado ni tatizo kwa jamii na kila mwaka wagonjwa wapatao 63, 000 hugundulika. Huku Mikoa kama Dar es Salaam, Mwanza, Shinyanga, Mbeya, Morogoro, Mara, Arusha na Tanga ikiongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi.

“Hadi sasa kuna changamoto wa kuwabaini wagonjwa wa kifua kikuu, kwani kati ya wagonjwa 65,732 waliobainika katika takwimu za Kitaifa za kubaini wagonjwa zilizofanyika mwaka 2012, sawa na asilimia 54 pekee huku wagonjwa 56,000 hukosa kugundulika na kupata matibabu hivyo kuendelea kuwaambukiza wengine, ”alisema Dk. Mutayoba.

Dk Mutayoba pia aliwataka wananchi kutodharau kifua cha aina yoyote kwa sababu hakuna kifua cha kawaida, hivyo kila anayekohoa anahitaji kupata ushauri wa daktari na vipimo.

“Kifua siyo ugonjwa wa kurithi, kinaambukizwa, kina tiba na kinapona kabisa, hivyo kila anayekohoa anahitaji kupata tiba na vipimo sahihi badala ya kuona ni cha kawaida, ”alisema Mutayoba. chanzo.Tanzania yashika nafasi ya sita kwa wagonjwa wengi wa TB Afrika - Kitaifa - mwananchi.co.tz

Sishangai...coz kwa Rais mzururaji kama Bwana Jakaya Mrisho Kikwete, hana dhamira ya dhati ya kupunguza safari zake ili aweze kujenga na kuboresha vituo vya Afya nchi nzima. Nasikia eti naye kawa Mfanyibiashara...! Vituo vya Afya hakuna dawa za kutosha, wenyewe wanapiga tu pesa!
 
Mradi wa Mashine za TRA za EFD.nasikia pia ni mradi wake!...mashine ya Laki 3 inauzwa Laki 8, faida Laki 5 kwa wafanyibiashara Milioni 15 nchi nzima, atakuwa amepata faida ya kiasi gani? Jakaya Mrisho Kikwete the first African President Bilionnaire with a worth of Assets of Tshs. 5 Trilioni...dah!
 
Usipende kumtaja mtu kwa jina lake tafadhali Mkuu lubajaro Rais

hana kosa kila kitu umsingizie Rais wakati Rais amewachaguwa wahusika wa shughuli za afya Waziri wa Afya yuko anafanya kazi gani?

Rais ana kazi yake na Waziri wa Afya kazi yake ni kushughulikia Afya za Wananchi sio kila kitu kumlaumu Rais haipendezi kabisa. Rais

yeye ni Mkuu wa nchi ana mambo muhimu sana katika nchi yetu kuyafanya sio mambo ya afya za wananchi wakati ana waziri wake

afya atafanya kazi gani ikiwa Rais ashughulike na afya za Wananchi? Jiulize na ufikiri utapata jibu sahihi sio kuropoka ovyo na

kumsingizia na kumpa lawama zisizo mhusu Rais wa nchi.
 
Mradi wa Mashine za TRA za EFD.nasikia pia ni mradi wake!...mashine ya Laki 3 inauzwa Laki 8, faida Laki 5 kwa wafanyibiashara Milioni 15 nchi nzima, atakuwa amepata faida ya kiasi gani? Jakaya Mrisho Kikwete the first African President Bilionnaire with a worth of Assets of Tshs. 5 Trilioni...dah!
Unasikia huna uhakika wa maneno yako unayoyasema mkuu lubajaro
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom