Tanzania yashinda TUZO 3 AFRIMA Nigeria, Alikiba na Nandy ndio Washindi

hongera zao...nazani kilichobaki ni kufuata nyayo tu..maana bwana yule alishawatengenezea njia wasanii wenzake wa tz!

Ni jambo zuri kuona matunda ya kile alichokifanya kwa vizazi vya nyuma yake.
 
Kiba bana kabeba tuzo kimya hata hajaposti kweli huyu ndo mchizi wa bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…