Tanzania yashinda TUZO 3 AFRIMA Nigeria, Alikiba na Nandy ndio Washindi

Tanzania yashinda TUZO 3 AFRIMA Nigeria, Alikiba na Nandy ndio Washindi

hongera zao...nazani kilichobaki ni kufuata nyayo tu..maana bwana yule alishawatengenezea njia wasanii wenzake wa tz!

Ni jambo zuri kuona matunda ya kile alichokifanya kwa vizazi vya nyuma yake.
 
Back
Top Bottom