joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hata nyang'au nao wanaogopa kuchangia.Kwan makamanda mmewaziwia kuchangia huu uzi?
Wacha kupanic wakati baba wa East Africa anaanza kukaripia mabwana zenu, Tanzania haiwezi kuzungumzia shutuma za kijinga kama hizo zisizokua na ushahidi wowote, inachokaripia ni kitendo cha Trump kujitangazia ushindi kabla ya tume ya uchaguzi kutoa matokeo rasmi.Baada ya nyinyi kuiba kura bila aibu mumeshaanza kushutumu nchi zingine eti wameiba kura? Nyani haoni kundule
Itabidi serikali ya Tabzania imtetee D Trump katika hili maana ni kama anaibiwa kuraπHivi Marekaki ambao ni mabwana wa wapinzani Tanzania hawawezi Fanya uchaguzi kwa amani na uadilifu? mnataka Tanzania iwafunze democrasia? Takataka nyie
Wewe nawe tukuite bibi wa mafisiem takataka wewe mwenyewe.Rafu zipo kila sehemu ktk mechi tatizo lenu mnajifananisha na marekani wkt huku tume ni yenu haichukui hatua mkifanya makosa nyinyi ila inaona makosa ya wapinzani wenu tu.Hivi Marekaki ambao ni mabwana wa wapinzani Tanzania hawawezi Fanya uchaguzi kwa amani na uadilifu? mnataka Tanzania iwafunze democrasia? Takataka nyie
Mfyuuuuu %$374%2$-9744*!(&5 period.Serikali ya Tanzania imeonyesha wasiwasi wake kufuatia taarifa za wizi wa kura na ukosefu mkubwa wa amani kufuatia fujo na uharibifu wa mali uliotokea katika baadhi ya maeneo na miji nchini humo.
Tanzania pia imesikitishwa na kitendo cha baadhi ya wagombea wa kiti cha urais katika uchaguzi huo kujitangazia ushindi kinyume cha taratibu jambo linalochangia kuzuka kwa fujo na uvunjifu wa Amani, na kuitaka serikali ya Marekani kuhakikisha kwamba haki na demokrasia inatawala katika kipindi chote cha uchaguzi.
Tanzania inaendelea kufuatilia kwa makini uchaguzi huo na kuzitaka pande zote husika kujizuia na vitendo vyovyote vyenye kusababisha uvunjifu wa Amani.
bila kusahau "serikali ya Tanzania haitasita kuwachukulia hatua za kisheria wale wanaovuruga uchaguzi USA na kama vitendo hivyo ovu vitakidhiri basi serikal ya Tanzania itaiwekea vikwazo vya kiuchumi USA".
niko usingizini, nafikiri naota.
Jikite kwenye mada! Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeUnacompare USA na nchi yenye economy ndogo than Delaware state, size ya Dar π€£